MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Wana namba za watu maelfuHuo muda watakaokuja kwangu hawatanikuta, kwa sababu nitaenda kufanya mazoezi ya mwisho mwisho ya utimamu wa mwili, kuelekea siku muhimu ya kesho.
Sikushare jana tuone upepo wa leoatakaekuja namvutia ndani then namalizana nae kavukavu👺