Orodha ya watu waliofanya unyama na uovu na kisha wakapandishwa vyeo na serikali ya CCM

Yeah ndio operation iliyowapandisha vyeo kina Bagyemu na JW wakawa wakuu wa Vikosi mfano mmoja yupo Dar kikosi Cha Anga .
πŸ€”πŸ€”N.B unit zote zenye Special tactics Squadron zilikuwepo.. Zilisonga front dhidi ya decoy?
 
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume umefanya vizuri sana kuanzisha huu uzi. Inabidi watenda maovu wote nchini waliopandishwa vyeo sababu ya kuwafanyia wenzao ukatili wawekwe wazi hapa. πŸ™πŸΎπŸ‘πŸ½

Natumaini huu uzi utawataja wote walionufaika na tawala za ccm kwa kuwatendea ukatili watanzania wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…