Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii


Hapa Old school tuu arifu! Swaga swagire bongo.

Vijana wa Arusha wanajiona wajanja ati kuliko wa Dsm
 
Walimu wa secondary na primary wakiepo pamoja kwenye events yoyote Ile .
 
Wanachama wa CCM wakiepo wamevalia Sare zao . Huhisi wao ndio wamiliki kamili wa hii nchi
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸƒπŸƒπŸƒ
Mkuu umenishinda
 
Dada utamu na ile ile pesa itume kwenye simu hii hujawataja
 
Nilivyokuwa chuo na lile boom niliona kila asiyesoma ni mjinga,na asiye na ajira hatumii akili na mvivu!


Ile mijdala na makongamano na zile lekcha za public administration/political science hasa umkute Dr Bashiru anapiga pindi huku anakosoa serikali ya Jakaya,nilijiona Dunia yote naifahamu,mwanamapinduzi,mkombozi ninayeenda kupambana na uzembe,rushwa,ufisadi na takataka zote!

Dah..nipo halmshauri ya wilaya fulani napambana na wahasibu,kesi za walimu watoro,walevi,madiwani wa darasa la saba.....zaidi majukumu yamenifanya nisahau zile itikadi zote za chuoni.

Kipesa chochote kitakachokatiza,kiwe cha halali ama vinginevyo vyote vinahalalishwa
 
Wanaobeti hawa jamaa ukiwakuta Wanajadili mikeka Yao alafu wewe ujionyeshe hujui chochote kuhusu mambo ya betting wanakuona kama mbuzi

Mtu anapiga Hesabu ya milioni 60 Kwa kuweka 500πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu ukimwambia haiwezekan anakuambia kuna jamaa mtaa Fulani alishindwa, ukienda mtaa huo kamwe huwezi kuona mtu huyo aliyeshinda
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bora wewe unaajira na unajitegemea.
Kuna wenzako wanatia huruma Sana
 
1. Wee umewasahau kamati ya hasuri siku ya harusi..yaan hujiona wao ndio wao hawaambiliki
2 Wamiliki wa Iphones hapa mkuu hawashikiki kabisaa..yaan ukikagua sms nyingi utakuta unadaiwa bustisha,, mara unadaiwa songesha tabu tupu

3 sasa hawa ndio hujioni wajanja haswa..hawa ni wale jamaa wa ALliance wapo pale makumbusho...yaan utakuta vimevaa visuti vyao na wanafanya money splashng...shida zimejaa mpaka matak*n lakin vinajiona maisha wameyamaliza...
NB masikin mpe pombe asahau shida zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…