Orodha ya watumishi wa sekta ya afya waliopata ufadhili kupitia mpango wa “Samia health super specialisation scholarship program 2023/24”

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Hongera waliopata
2. Je, ni kweli wanalipa maana kumekuwa na tabia, tangu huko nyuma, ya kulipa kwa mbinde mpaka walio nje kufedheheka kwa kukosa huduma za kishule AU ni uchaguzi UNAKARIBIA.

Short of that napongeza hatua hii.
 
Attachments

Ni jambo jema sana kuwapeleka masomoni. Ingawa kuwatoa Madaktari 600 kazini kwa wakati mmoja waende Masomoni kwa miaka 3-6huko Vituoni hali itakua tete sana. Huduma zitazolota sana na huenda vifo vya hapa na pale pia vikawepo, hakuna zuri linalokuja bila maumivu. Kuna madaktari maeneo walikotoka wao ndio pekee waliokuwepo kwa hiyo lazima kufunga mikanda.
 
Hongera zao.Lkn pia pongezi kwa Serikali kwa kuliona hilo,watu mia sita na moja si haba,japo Uhitaji wa Wataalamu wa afya wabobezi bado ni mkubwa ktk nchi yetu.Lkn taratibu tunasogea.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo jema sana kuwapeleka masomoni. Ingawa kuwatoa Madaktari 600 kazini kwa wakati mmoja waende Masomoni kwa miaka 3-6huko Vituoni hali itakua tete sana. Huduma zitazolota sana na huenda vifo vya hapa na pale pia vikawepo, hakuna zuri linalokuja bila maumivu. Kuna madaktari maeneo walikotoka wao ndio pekee waliokuwepo kwa hiyo lazima kufunga mikanda.
Ni sahihi,lkn ndio hivyo kila lenye faida halikosi kuwa na hasara kwa upande mwingine.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo jema sana kuwapeleka masomoni. Ingawa kuwatoa Madaktari 600 kazini kwa wakati mmoja waende Masomoni kwa miaka 3-6huko Vituoni hali itakua tete sana. Huduma zitazolota sana na huenda vifo vya hapa na pale pia vikawepo, hakuna zuri linalokuja bila maumivu. Kuna madaktari maeneo walikotoka wao ndio pekee waliokuwepo kwa hiyo lazima kufunga mikanda.
Kuna madktari wengi wako mtaani

Also don’t forget maendeleo yana sacrifice zake
 
Back
Top Bottom