Ni jambo jema sana kuwapeleka masomoni. Ingawa kuwatoa Madaktari 600 kazini kwa wakati mmoja waende Masomoni kwa miaka 3-6huko Vituoni hali itakua tete sana. Huduma zitazolota sana na huenda vifo vya hapa na pale pia vikawepo, hakuna zuri linalokuja bila maumivu. Kuna madaktari maeneo walikotoka wao ndio pekee waliokuwepo kwa hiyo lazima kufunga mikanda.