Orodha ya wilaya 10 zinazoongoza Kwa kuwa na watu wenye furaha Tanzania

Kwa Tanga uko sahihi sana,niko hapa nacheki movie huku nakunywa zangu Anjari! Unaijua anjari wewe? Pembeni kuna ngisi wa kukaanga na muhogo! Unaujua uono? Huku unapata mpaka wa jero..
 
Kwani unajuaje km hawa watu wana furaha? vigezo gani unatumia?
 
1[emoji819] 2[emoji819] 4[emoji819]
 
Wilaya ya ukerewe
Dah hawa jamaa muda wrote wako na furaha Sana sijui kwasababu ni kisiwa??
 
ukiacha hizo wilaya ambazo zipo nyanda za juu kusini,zilizobaki ni wilaya za mikoa ya pwani ambapo wakazi wake wakipata msosi tu wanaridhika
 
Asante hujataja wilaya niliyopo maana huku tunapiga hela balaa na tunakula raha sana kijana asie na pesa anamiliki nyumba na IST ila kimya kimya siku mkishtuka tumeshatoboa na fursa zitakua za kugombania haitakua Kama sasa
 
Ujafika Songea wewe
 
Inaonekana wilaya maskini ndo zinaongoza kwa furaha
 
Ni wilaya ulizotembelea ama research yako inahusu wilaya zote??
 
Sisi wachaga tupo namba ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…