Orodha ya wilaya 10 zinazoongoza Kwa kuwa na watu wenye furaha Tanzania

Kibaha naunga mkono hoja nilikua hapo last week nakubaliana na wewe watu wako na happy pale hasa usiku [emoji39]
 
Maeneo yooote uliyotaja wanawake unajipatia buree mama zao na babazao Wala hawana habari wao nikupeana maneno yakiruga kuitwa mke sekunde 2 nyingi
 
Sisi tuliopo huku wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi hii orodha haituhusu
 
FURAHA YA KWELI?? Haipatikani kwenye mipira movies visingeri taarabu disko ngono kubeti pesa michepuko au utani na mengneyo kamwe watu hawataweza kupata furaha ya kwel mpaka hapo watakapojitoa kamili (TOTAL SURRENDER) Kwa KRISTO YESU.
Oya tutolee huyo punguwani. Yesu ndio takataka gani hapa?
 
Kwasasa hivi, hivi ninavyoandika Morogoro mjini sio kweli
Pale waruguru na wakaguru wote wanapumulia mipira

Wamebaki na uongo uongo mwingi wakina mjomba mkude
 
Namba 3 ndio namba 1
 
Tanga maduka ufunguliwa saa4 asbhi alafu saa6 wanafunga wanaenda kuswali kula cha mchana na kulala wanarudi kufungua saa10 saa12 wanawai masjid, kweli [emoji1787]
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Mkuu umezidisha dozi ujue
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hawa watu ndio wanafanya duniani watu wawe na stress, hakuna kiumbe kilichowahi kuwepo kikaitwa YESU, yaan MUNGU eti aamue kuvaa mwili wa binadamu ili kuja kuwaokoa wanadamu [emoji3][emoji3][emoji3] sasa huyo ni Mungu au kituko, yaan atuumbe afu atuogope mpaka auvae mwili.
 
Wilaya za Kilimanjaro haziwezi kuwa na watu wenye furaha wazazi wanapressurelize watoto wawe na pesa bila kujali mtoto yupo kwenye wakati gan , wakichukua watu misukule wanaaza lalamika[emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…