Orodha ya World Bank 2022 ya low income countries, Tanzania imesahaulika? Kwenye middle income countries haipo

Jana hukusikia kwamba tulishafutwa kwenye orodha ya middle income countries?
Nenda kaqngalia kwny hiyo orodha... akili za kuambiwa changanya na zako... tupo middle income kwa mujibu wa hiyo taarifa
 

Jamani nchi ilikuwa unaongozwa na mwehu. Achana na like jamaa likikuwa linaamua tu kwamba tangazeni hii ni nchi ya uchumi wa Kati.
Hakuna mwenye uwezo wa kuiamurisha Benki ya Dunia kufanya hivyo. Hata rais wa Amerika hana uwezo huo.
 
Nenda kaqngalia kwny hiyo orodha... akili za kuambiwa changanya na zako... tupo middle income kwa mujibu wa hiyo taarifa
Nimeenda kuangalia. Nimekuta kwenye middle income countries zimo nchi za Burundi, Zimbabwe kwa Mugabe, Malawi na Zambia. Kwa Afrika Mashariki ni Kenya na Burundi tu.
 
Hujamsikia Rais?
 
Hujamsikia Rais?
Tumemsikia vizuri sana, kasema hivi:

"Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule.

“Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani tutakapofika 2025 kama hatujafika tutakuwa tunakaribia, kwa sababu tunatarajia mwaka ujao tutakwenda kukua kwenye asilimia 5 na pointi, miaka miwili inayokuja tutakwenda kufika kwenye 6.8 tuliyokuwa kabla,”

Sasa kipi ambacho hakijaeleweka hapo? Tulifikia uchumi wa kati tukarudishwa. Sasa tunapambana ili angalao tukaribie uchumi huo mwaka 2025.
 
Sasa wakuulizwa ni WB
 
Thibitisha kuwa taarifa niliyoiweka ni ya mwaka jana. Kumbe vita ya ujinga bado mbichi sana Tanzania. Mama ongeza kasi ya ujenzi wa madarasa tatizo ni kubwa kuliko unavyodhani.
 
Wapi wameandika kuwa ni zamwaka jana mkuu mbona huleti uthibitisho?
Haya ifungue mwenyewe hiyo link halafu ikopi text yake na kuipaste hapa. Ni takwimu za 2021 July na si 2022 .
 
Haya ifungue mwenyewe hiyo link halafu ikopi text yake na kuipaste hapa. Ni takwimu za 2021 July na si 2022 .
Kumbe unaleta utani nilifikiri upo serious. Haya endelea na utani wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…