Orodha ya World Bank 2022 ya low income countries, Tanzania imesahaulika? Kwenye middle income countries haipo

Je Tanzania ni Nchi ?
 
Waka nawe umekurupuka kwa uwezo wa Dr Akili na kukwepua kwake huko si angejibu tu kwa staha?

Kwanza kwa Daktari Akili ameandika nini huko juu kingreza kitupu.

Hi mada ya kujenga taharuki. Kwani baada ya hayo juu watakuja kuanza ni kwanini imekuwa hivyo kama inaukweli wowote. Na kama kawa wataanza na makombora yao kwa mtu badala ya ilani ya CCM
WANANCHI, mchukue tahadhari na hawa. Mtawajua tu ka matusi ya kejeli uzandiki

na kudumaza.
 
Dr. Akili
Naomba kujua hiyo ripoti inamkwamua vipi mkulima wa bagamoyo msoga?
 
Sisi tunapika data awamu za nyuma
Baada ya kifo cha magufuli, wezi wa awamu za nyuma wamerudi kwa nguvu mpya. Pesa sasa inachotwa kupitia miradi bandia na mikopo tunaitiwa badala ya kuomba. Wewe uliona wapi mtu anitwa na kuambiwa njoo nikukopesha. Tukisikia hivyo tunakimbia. Sasa hivi tunaelemewa na mikopo, maana kodi sasa hazikusanywi vilivyo. Kila mfanyabiashara anakimbilia vibali vya misamaha ya kodi. Walipa kodi wamebaki ni wafanyakazi na maskini wanaotumiwa vijisenti kwa mimla na kujikuta zaidi ya robo zimefyeka na Mama Tozo. Na sasa hivi kila kitu Mama Tozo ni kumuongelea Magufuli. Mama Tzo kuwa raisi na jijengee heshima kwa kusimamia nchi. Huwezi kumlaumu Malocks siku zote. Hii ni mara ya kwanza kuona raisi alieipeleka nchi katika uchumi wa kati, na sasa tumeshuka, sijui utamlaumu nani. Achana na Msoga gang. Hao hawana huruma na nchi, na ujuwe wanakuharibia wewe, maana waliiacha nchi ikiwa taabani. Baada ya nchi kuanza kupona dakatri kaondoka na baada ya genge la Msoga kurudi uchumi umedidimia na kurudi pale ulipokuwa.
 
Thibitisha kuwa taarifa niliyoiweka ni ya mwaka jana. Kumbe vita ya ujinga bado mbichi sana Tanzania. Mama ongeza kasi ya ujenzi wa madarasa tatizo ni kubwa kuliko unavyodhani.
Kama ulikuwa hujui report zote za zinapoandaliwa ina maana ni kwa mwaka ulioisha. Huwezi ukatoa taarifa ya mwaka ambao hujumaliza... mf tuzo za TMA ni za mwaka 2021 lkn tukio limefanyika 2022. Kama hujui jambo uliza
 
Report ya middle income countries hiyo hapo
Asante kwa kutuletea hii taarifa ya World Bank ya mwaka 2022. Kumbe Tanzania pamoja na Ukraine bado ni Middle Income Country (MIC). Sasa ni nani alimdanganya rais wetu kwamba tumeondolewa kwenye MICs? Waziri wa fedha na uchumi, Mh Mwiguru Nchemba anapaswa kuwajibishwa / kutumbuliwa kwa kushindwa (incompetancy) kumsaidia vizuri rais wetu. Ingalifaa akajiuzuru kama alivyofanya Job Ndungai kwa kosa linalofanana na hili.

Hili ni kosa kubwa sana wizara ya fedha imefanya. Limesababisha taharuki kwenye jamii ya watanzania na kuwafanya wafikiri serikali yao imeshindwa kusimamia vizuri uchumi wa nchi wakati si kweli. Uchumi wetu bado ni imara wa kiwango cha kati na ifikapo 2025 utakuwa ya viwanda (industrialized country). Changamoto zinazojitokeza kukwamisha azima hii hususani zile za nishati ya umeme na mafuta, zinashughulikiwa kikamilifu.
 
Kama ulikuwa hujui report zote za zinapoandaliwa ina maana ni kwa mwaka ulioisha. Huwezi ukatoa taarifa ya mwaka ambao hujumaliza... mf tuzo za TMA ni za mwaka 2021 lkn tukio limefanyika 2022. Kama hujui jambo uliza
Leta uthibitisho wako kuwa mwaka huu 2022 hatupo tena kwenye lower-middle income countries listy. Acha mbwembwe aisee.
 
There is no GNI for 2022 for any country in world. The data takes time. Latest that exist for anyone is 2020. All that say 2022, as linked few post above, are only estimates using available data and a type of calculation called the "Atlas Method" that the world bank (and governments like European Union) use to find GNI. It is better to use accurate data for the "official" and see estimates as only estimates (appropriate caution taken).
 
Hii dunia hutakiwi kuumiza sana kichwa; muhimu ni kuangalia mahitaji yako ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…