Orodhesha vitu ambavyo ni kawaida yetu Wabongo kuvibadili matumizi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
ni kawaida yetu kubadili matumizi ya vitu!
  • Chandarua tunafugia kuku
  • Dawa ya meno tunapaka kidonda
  • Mafuta ya transfoma tunapikia chips
  • Gari ya wagonjwa tunapakiza mkaa
Taja na kadhalika nyingine
 
SACCOS ya Mr Hai na Mr Mzungu inageuza chama cha siasa; Sisiemu iendelee kutawala tu na JPM azidi kuchapa kazi. Maendeleo hayana vyama.
 
Bafuni tunageuza ni gest house
Sabuni tunaifanya demu

Watoto wa boys schools wamenielewa

Ndizi/matango ni muhim sana kwa matumiz ya wadada wa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…