ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
ni kawaida yetu kubadili matumizi ya vitu!
- Chandarua tunafugia kuku
- Dawa ya meno tunapaka kidonda
- Mafuta ya transfoma tunapikia chips
- Gari ya wagonjwa tunapakiza mkaa