ORUMA: Timu zote 15 ziungane kuizuia Yanga isichukue ubingwa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji599]WILSON ORUMA:TIMU ZOTE 15 ZIUNGANE KUIZUIA YANGA ISICHUKUE UBINGWA

"Kama ambacho nimepata so far as to why Yanga Africa wanamuacha Joseph Guede na Kumchukua Jean othos Baleke ni kweli

Basi team zote 15 za Ligi zinatakiwa Kuungana Kumzuia Yanga Africa. Yes it will take that Much I Swear

I'm blow way for the fact that everything is Planned beforehand.Kila tunachoona hakuna bahati mbaya hata Moja.

I'm scared Kwasababu Sijajua Kwamba team nyingine zinaifahamu Yanga Africa hii Kiasi hiki.

Kama watu wasipozinduka Yanga Africa anaweza Kupiga back to back 10 times.

Anyways ngoja niendelee kukusanya ushahidi nitakuja kuwasimulia hapa kuhusu Kila swali unalojiuliza kuanzia Baleke anaondoka Simba Sports mpaka Saivi anasajiliwa na Yanga Africa

Wenu Katika Ujenzi wa Mpira wa nchi" - Wilson Oruma, Mzee wa jambia
1698221166735.jpg
 
[emoji599]WILSON ORUMA:TIMU ZOTE 15 ZIUNGANE KUIZUIA YANGA ISICHUKUE UBINGWA

"Kama ambacho nimepata so far as to why Yanga Africa wanamuacha Joseph Guede na Kumchukua Jean othos Baleke ni kweli

Basi team zote 15 za Ligi zinatakiwa Kuungana Kumzuia Yanga Africa. Yes it will take that Much I Swear

I'm blow way for the fact that everything is Planned beforehand.Kila tunachoona hakuna bahati mbaya hata Moja.

I'm scared Kwasababu Sijajua Kwamba team nyingine zinaifahamu Yanga Africa hii Kiasi hiki.

Kama watu wasipozinduka Yanga Africa anaweza Kupiga back to back 10 times.

Anyways ngoja niendelee kukusanya ushahidi nitakuja kuwasimulia hapa kuhusu Kila swali unalojiuliza kuanzia Baleke anaondoka Simba Sports mpaka Saivi anasajiliwa na Yanga Africa

Wenu Katika Ujenzi wa Mpira wa nchi" - Wilson Oruma, Mzee wa jambiaView attachment 3035466
What the heck!
 
Magachori wa CCM wameshika vichwa vya nyumbu wa kitanzania kweli kweli. Muda wote wanawaza mpira wakati vipande vya nchi vinanadiwa na rais na kundi lake. Endeleeni, siku mkija kuamka kwenye usingizi mliolala mtakuta hata sehemu ya kuweka bustani hamna.
 
Angeandika kiswahili kama Vishu Mtata hapa, ili ueleweke, andika lugha unayoimudu vyema.
Tatizo ni kwamba wanahabari wengi kingereza pumba, kiswahili mashudu akichanganya hupati kitu zaidi ya chakula cha nguruwe.
 
Magachori wa CCM wameshika vichwa vya nyumbu wa kitanzania kweli kweli. Muda wote wanawaza mpira wakati vipande vya nchi vinanadiwa na rais na kundi lake. Endeleeni, siku mkija kuamka kwenye usingizi mliolala mtakuta hata sehemu ya kuweka bustani hamna.
Wote tukizungumzia siasa jukwaa litaboa...

Kwanini usijikite huko sisi utuache kwenye mpira ?
 
Huwezi kukwepa siasa kwa sababu ni maisha. Infact CCM imefanikiwa sana kuwaaminisha watanzania kuwa siasa ni jambo linalotakiwa kuachiwa lifanywe na watu wachache tu. Viongozi wote kuanzia rais mpaka mwenyekiti wa kijiji chako wana-affect maisha yako ya kila siku. Kwa nini usiwazungumzie? Kwa nini usiwajadili?
 
Hapa unajaribu kusema mambo mengine hayana maana isipokua siasa pekee?
 
Umefanya wrong conclusion. Michezo ina maana sana sana na hata mimi naipenda. Ila michezo inapotumika kufikia lengo harama na dhalimu basi inatakiwa kususiwa. Michezo inatakiwa kuwa free from politics. Mchezo iangushe watu na kutetea mazuri na siyo kuunga mkono maovu.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Back
Top Bottom