ORUMA: Timu zote 15 ziungane kuizuia Yanga isichukue ubingwa

ORUMA: Timu zote 15 ziungane kuizuia Yanga isichukue ubingwa

Magachori wa CCM wameshika vichwa vya nyumbu wa kitanzania kweli kweli. Muda wote wanawaza mpira wakati vipande vya nchi vinanadiwa na rais na kundi lake. Endeleeni, siku mkija kuamka kwenye usingizi mliolala mtakuta hata sehemu ya kuweka bustani hamna.
Huo ni uwekezaji mkuu

Njoo nikupe elimu ya PPP ... Public private partnership

hakuna serikali inayouza nchi
 
Angeandika kiswahili kama Vishu Mtata hapa, ili ueleweke, andika lugha unayoimudu vyema.
Tatizo ni kwamba wanahabari wengi kingereza pumba, kiswahili mashudu akichanganya hupati kitu zaidi ya chakula cha nguruwe.
Angalia content iliyopo...sio lugha
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
UTAPELI
 
Hiyo elimu kampe Kafulila
Why PPP it's important???

Public-private partnerships (PPPs) are important because they leverage the strengths of both sectors to deliver public services and infrastructure efficiently.

They can bring together resources, expertise, and innovation from the public and private sectors to address complex challenges, improve service delivery, reduce costs, and spread risks.

Hizo ni sababu za Kwann PPP ni muhimu
 
Mkuu wamekuambia hiyo elimu yako ya PPP umpelekee Tumbili (Kafulila) au hujasikia? Hapa lete habari za Oruma na Oscar Oscar tu.
 
Mimi nilidhani ni EPC + F kumbe ni PPP!
Hapana PPP tunazungumzia ni kitendo Cha serikali kushirikiana na private sector.... stakeholders kwenye baadhi ya huruma za kijamii....kiuchumi etc

Since government haiwezi fanya mambo yote
 
Mkuu wamekuambia hiyo elimu yako ya PPP umpelekee Tumbili (Kafulila) au hujasikia? Hapa lete habari za Oruma na Oscar Oscar tu.
Kijana anaonekana ni mweupe haya mambo....so lazima apewe elimu Ili awe mzalendo
 
Back
Top Bottom