Ni kweli kabisasisi wauzaji ndo tunapata shida.
Tumieni sana iishe mnunue nyingine.
Kuna mtu mtungi wa kilo 6 anakaa nao mpaka unamsahau kama alinunua gesi kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah dar mzunguko upo na ukiwa unafanya delivery majumbani inasaidia pia kupata wateja on time .Unaona sasa.
Yaani kama umekodisha fremu alafu uuze tu gesi.itakula kwako.
Bora uweke hata na vitu vya dukani vya kawaida.
Ila kwa dar watu ni wengi mzunguko wake wa gesi ni mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi wauzaji ndo tunapata shida.
Tumieni sana iishe mnunue nyingine.
Kuna mtu mtungi wa kilo 6 anakaa nao mpaka unamsahau kama alinunua gesi kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kweli aiseeh. Mi huo mtungi na ubachela wangu nakata mpaka miezi nane.sisi wauzaji ndo tunapata shida.
Tumieni sana iishe mnunue nyingine.
Kuna mtu mtungi wa kilo 6 anakaa nao mpaka unamsahau kama alinunua gesi kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe muuzaji gani usiyejua mzunguko wa faida kwenye mauzo ya gesi..?
Tutumie iishe kupika nini wakati chakula hakuna, mjinga wewe.... [emoji3][emoji3][emoji3]
Inamaanisha gesi ina faida ndio maana wengi wanakimbilia kuuza.Gesi Ina faida ikitoka kila siku. Tatizo sasa hivi wauzaji wa gesi tumekuwa wengi sanaa.
Mtu akifungua tu duka la vitu.
Anaweka na gesi. A ongeze mapato..
Kila sehemu wanauza gesi.
Alafu kuna mtu anatumia gesi zaidi ya miezi 3 kuna hela hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kampuni moja mitungi yake ya gesi haijai vizuriSasa kupunguza buku mbili na uo mkubwa buku 4 ni kupunguza bei au kubadilisha namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana kuna mitungi ya uzito tofauti, Hali kadhalika mwekezaji anayetegemea kujenga kiwanda cha mitungi na kujaza gesi anataka kutengeneza mitungi ya uzito tofauti na hii iliyopo sasa sokoni. sikumbuki vizuri lakini itakuwepo mitungi midogo zaidi ya hii iliyopo sasa.Hapo kweli aiseeh. Mi huo mtungi na ubachela wangu nakata mpaka miezi nane.
Ombeni muwe na huduma yakuweka gesi rejareja kulingana na kipato cha mteja kwa muda huo sio kusubiri hadi gesi iishe anunue nyingine ikiwa full.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria inawataka wauzaji wa reje reja wawe na mizani ya kupimia gesi ili mnunuzi asipunjwe. Ukienda dukani ukakuta hana mizani nenda duka lingine lenye mizani ili ujiridhishe.Kuna kampuni moja mitungi yake ya gesi haijai vizuri
Inamaanisha gesi ina faida ndio maana wengi wanakimbilia kuuza.
Zamani watu walikuwa hawatumii gesi kwa wingi kwa vile upatikanaji ulikuwa wa shida kwa maana ya umbali wa maduka ya gesi, gharama iliongezeka kwa kukodi gari ndio maana watumiaji gesi walikuwa wale waliokuwa na kipato cha kati. ukiacha wingi wa maduka,siku hizi wasambazaji wanapeleka bidhaa mpaka kwenye maduka ya rejereja.
Ok asante kwa ufafanuziSheria inawataka wauzaji wa reje reja wawe na mizani ya kupimia gesi ili mnunuzi asipunjwe. Ukienda dukani ukakuta hana mizani nenda duka lingine lenye mizani ili ujiridhishe.
Nakubaliana na wewe, haiwezekani mtwara kuna gesi halafu 15Kg tununue kwa 50, angalau tuuziwe kwa 20000
Mzani utanisaidia nini mimi mteja? Chukulia mtungi wa kg 30 unapaswa kuwa gesi 15kg na mtungi 15kg, sasa ikiwa mtungi ni 20kg na gesi 10kg ntajuaje kama nimepigwa?Sheria inawataka wauzaji wa reje reja wawe na mizani ya kupimia gesi ili mnunuzi asipunjwe. Ukienda dukani ukakuta hana mizani nenda duka lingine lenye mizani ili ujiridhishe.
Huo wa kg 15.bei ya jumla ni 46,000.
Faida 4,000..
Kuuza gesi kunahitaji uvumilivu.
Kuna watu wanakaa na gesi hadi miezi mitatu haijaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi wauzaji ndo tunapata shida.
Tumieni sana iishe mnunue nyingine.
Kuna mtu mtungi wa kilo 6 anakaa nao mpaka unamsahau kama alinunua gesi kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
HAKUNA BUSSINESS Aiumizi KICHWA KAMA HII....WENGI WANAFUNGUA WAKIONA WATU..FANYA UTAFITI WA WINGI WA WATU KWANZA..ANGALIA UWEZO WAO..WEKA MZIGONiliwahi muuliza mshikaj anayeuza...unapataje faida!..hii nayo ni biashara kichaa nisizopenda...utoke hom..ule mchana ..nauli..hujanunua maji ya kunywa...roughly kina 3000 hapo inatoka..then uje uuze mitungi 2.kwa siku! Oh no kwqngu