Oryx washusha bei ya gesi

Oryx washusha bei ya gesi

Walee mliokuwaa mkimtukana basiasi njoooni hukuu
Oryx Gas wamepunguza gesi kuanzia kesho 4-3-2020

KG 6 BEI YA KUUZA 20" 000
BADALA YA 22" 000 YA AWALI
(2000) diff

KG 15 BEI YA KUUZA N 50'000
BADALA YA 54" 000 YA AWALI
(4" 000) diff

TUNASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU

ORYX GAS PAMOJA NAWE DAIMA
oryx gas yao wanachakachua inaisha fasta sanaaaaaa..... nao tupo na lake na bei yake less than 50!
 
HAKUNA BUSSINESS Aiumizi KICHWA KAMA HII....WENGI WANAFUNGUA WAKIONA WATU..FANYA UTAFITI WA WINGI WA WATU KWANZA..ANGALIA UWEZO WAO..WEKA MZIGO
NINA SEHEMU NNE ZA GESI
KILA MOJA MINM KUBWA N 4/3
MINM KUBWA NAUZA 17
Z500
UJAUZA NDOGO HAPO..USIJEACHA KAZII M NILIANZA KUWA NA DUKA NIKIWA KAZINI KUSTAAFU IWE KUKUONGEZEA MITAJI TU USISUBIRI UPIGWE CHUMA NDIO UWEKEZE

Handwritrng yako mm nafurahi tu ..hebu andika ueleweke basi mzee baba!..kwamba??
 
Kwani kampuni ni wao tu..kuna haja ya kuwa na kila mtungi
 
Nakubaliana na wewe, haiwezekani mtwara kuna gesi halafu 15Kg tununue kwa 50, angalau tuuziwe kwa 20000
Maajabu Gesi zote hizi hazitoki Tanzania (Mtwara au Kilwa Somanga)
Gesi wanazopaki Oryx Mihan, zinatoka nje ya Nchi
tumia Mihan kujaza mtungi mdogo ni 17,000
kuna member kasema Arusha ni 15,000 sijui ni Gas gani hiyo
 
Maajabu mengine kenya wanatumia gesi ya mtwara!!!
 
Maajabu mengine kenya wanatumia gesi ya mtwara!!!
NO hakuna Gas iendayo Kenya
Mtwara wenyewe hawaitumii wanatumia Mihan, Oryx, Lake nk
p.se hiyo mitungi ya Gas ya Mtwara inaitwaje, au ni hii Gas iliyofika hapo Dsm toka Somanga iliyokuja kwa bomba imesharuka na kufika Kenya?
 
Kenya wananunua ges kutoka kwa hizo kampuni zinazovuna then wao ndio wanajaza kwenye mitungi yao, gesi yao inasafiri kwa matank kama yale yanayosafirisha mafuta, hawatumii meli wala bomba ni magari
 
Mimi naona bado haijamkomboa mtanzania wa hali ya chini kwa mtu wa kipato cha chini kwa 20,000 bado sana labda wangeshusha mpk 15,000 kidgo ingekuaa ina tija

Sent using Jamii Forums mobile app
20000 ÷ 30 = 666.66667 700 (per day)

700 nayo ni ndogo mkuu? mfikirie na yule mfanyabiashara

nae ana kodi za kulipa,wafanyakazi wa kulipwa mishahara

lakini pia nayeye anahitaji afurahie maisha,mi nadhani 700

si ndogo ila pia si mbaya sana,Tuangalie pande zote mbili.
 
Kenya wananunua ges kutoka kwa hizo kampuni zinazovuna then wao ndio wanajaza kwenye mitungi yao, gesi yao inasafiri kwa matank kama yale yanayosafirisha mafuta, hawatumii meli wala bomba ni magari
hiyo kali sijawahi iona wala kumeza
Gas ya Mtwara ni Natural Gas wangeifuata Dsm au waendelee na ile LPG inayoshushwa pale Mombasa itakuwa cheap kuliko kwenda Mtwara
Liquefied petroleum gas or liquid petroleum gas (LPG or LP gas), is a flammable mixture of hydrocarbon gases used as fuel in heating appliances, cooking equipment, and vehicles.
What Type of Gas is Used in Homes - What Gas is Used in Gas Bottles - Cooking Gas Contains - Cooking Gas Cylinder
 
Back
Top Bottom