Oscar Oscar: hii ndio top 10 ya wachezaji Bora mwaka 2022, ongezea list yako

Oscar Oscar: hii ndio top 10 ya wachezaji Bora mwaka 2022, ongezea list yako

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
salaaam Wana jf

Mchambuzi Bora hapa nchini Oscar Oscar, mtu asiye na MBA MBA MBA kwenye tasnia ya football analysis (uchambuzi wa soka) kwa wale waliokimbia shule, ameshare list ya wachezaji 10 Bora Kwa mwaka huu unaoisha wa 2022 Kwa kigezo cha kuisaidia timu kupata matokeo.

Top ten ya wachezaji Bora 2022

1. FISTON MAYELE
.2 yanick Bangala
3. Djigui Diara
4. Clatous Chota Chama
5. Feisal Salum
6. George Mpole
7. Abdul Sopu
8. Hussein Zimbwe
9. Dickson Job
10 henock Inonga

Je, unakubaliana na hili? Kama hapana weka sababu then pendekeza list yako.
 
salaaam Wana jf

Mchambuzi Bora hapa nchini Oscar Oscar mtu asiye na MBA MBA MBA kwenye tasnia ya football analysis (uchambuzi wa soka) Kwa wale waliokimbia shule, ameshare list ya wachezaji 10 Bora Kwa mwaka huu unaoisha wa 2022 Kwa kigezo Cha kuisaidia timu kupata matokeo

Top ten ya wachezaji Bora 2022

1. FISTON MAYELE
.2 yanick Bangala
3. Djigui Diara
4. Clatous chota Chama
5. Feisal salum
6. George mpole
7. Abdul sopu
8. Hussein zimbwe
9. Dickson job
10 henock inonga

Je unakubaliana na hili .....kama hapana weka sababu
Then pendekeza list yako
Ana akili za mgando anamjua James Akaminko huyo, Kipre Junior?
 
Top ten ya football players mwaka 2022
1672229452822.jpg
 
salaaam Wana jf

Mchambuzi Bora hapa nchini Oscar Oscar, mtu asiye na MBA MBA MBA kwenye tasnia ya football analysis (uchambuzi wa soka) kwa wale waliokimbia shule, ameshare list ya wachezaji 10 Bora Kwa mwaka huu unaoisha wa 2022 Kwa kigezo cha kuisaidia timu kupata matokeo.

Top ten ya wachezaji Bora 2022

1. FISTON MAYELE
.2 yanick Bangala
3. Djigui Diara
4. Clatous Chota Chama
5. Feisal Salum
6. George Mpole
7. Abdul Sopu
8. Hussein Zimbwe
9. Dickson Job
10 henock Inonga

Je, unakubaliana na hili? Kama hapana weka sababu then pendekeza list yako.
Nani amekwambia oscar ni mchambuzi bora labda kama anachambua kinyesi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom