Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtazamo wa huyo mtu akili ni 0.0%.....coz hata kama wote vilaza..,.but there must be some one with somethingmaono yake binafsi.
kuna mwengine anakwambia akuna haja ya kuwa na wachezaji top ten kwa hapa bongo kwasababu wote viwango vyao ni vibovu [emoji118]huyu nae ni mtazamo wake labda sijui kwasababu anaishi ulaya huko na kufatilia zaidi mpira wa huko.
Ndo ivyo sasa mambo yalivyo kwenye tofauti ya mitazamo.Mtazamo wa huyo mtu akili ni 0.0%.....coz hata kama wote vilaza..,.but there must be some one with something
Naongelea msimu huu, maana hiyo list ni ya msimu huuAlikuwa mfungaji Bora msimu wa 2021/ 2022
Jamani Wakubwaaachama namba 1 hapa Tanzania Hana mpinzani wengine wote wakawaidatu.
Chama mzunguko wa pili msimu uliopita alikua Bado anajitafuta (baada ya kurejea msimbazi kutoka RS Berkane).chama namba 1 hapa Tanzania Hana mpinzani wengine wote wakawaidatu.
Kabisaa mkuuJamani Wakubwaaa
Oscar kalist wachezaji Bora in a Calendar year 2022
Means
Nusu msimu 2021/22 (mzunguko wa pili) na
Nusu msimu 2022/23 (mzunguko wa kwanza)
Of which yupo sawa/accurate na list yake kajitaidi sana. (Kama wewe ni mtu wa mpira utaliona hilo).
Profession ya nini..?😂😂Hapana....but yule ana profession ya uchambuzi so automatically tunajua ametumia taaluma yake
Chama Cha mambuzi au chama Cha netiboli? Moloko ndo injini ya mpira bongo Assist kama zote Chama tupa kule!chama namba 1 hapa Tanzania Hana mpinzani wengine wote wakawaidatu.
🤣🤣🤣huoni hataaibu mkuu?😎😎Chama Cha mambuzi au chama Cha netiboli? Moloko ndo injini ya mpira bongo Assist kama zote Chama tupa kule!