Ana akili za mgando anamjua James Akaminko huyo, Kipre Junior?salaaam Wana jf
Mchambuzi Bora hapa nchini Oscar Oscar mtu asiye na MBA MBA MBA kwenye tasnia ya football analysis (uchambuzi wa soka) Kwa wale waliokimbia shule, ameshare list ya wachezaji 10 Bora Kwa mwaka huu unaoisha wa 2022 Kwa kigezo Cha kuisaidia timu kupata matokeo
Top ten ya wachezaji Bora 2022
1. FISTON MAYELE
.2 yanick Bangala
3. Djigui Diara
4. Clatous chota Chama
5. Feisal salum
6. George mpole
7. Abdul sopu
8. Hussein zimbwe
9. Dickson job
10 henock inonga
Je unakubaliana na hili .....kama hapana weka sababu
Then pendekeza list yako
Nakazia Mtazamo Wakemtazamo wake
MI nimetia ubinaadAm tuKwan sio [emoji817]
Inasikitisha kwakweliKwa hiyo hyo oscaroscar akishasema
Mijitu yote....ndiyooooooo
Ova
Nani amekwambia oscar ni mchambuzi bora labda kama anachambua kinyesi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]salaaam Wana jf
Mchambuzi Bora hapa nchini Oscar Oscar, mtu asiye na MBA MBA MBA kwenye tasnia ya football analysis (uchambuzi wa soka) kwa wale waliokimbia shule, ameshare list ya wachezaji 10 Bora Kwa mwaka huu unaoisha wa 2022 Kwa kigezo cha kuisaidia timu kupata matokeo.
Top ten ya wachezaji Bora 2022
1. FISTON MAYELE
.2 yanick Bangala
3. Djigui Diara
4. Clatous Chota Chama
5. Feisal Salum
6. George Mpole
7. Abdul Sopu
8. Hussein Zimbwe
9. Dickson Job
10 henock Inonga
Je, unakubaliana na hili? Kama hapana weka sababu then pendekeza list yako.