Oscar Oscar: Hivi Kagere na Kindoki wakikutana itakuaje?

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Yule mchambuzi bora wa soka toka EFM, Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua, ameuliza hilo swali.. Wadau tumsaidie kumpa majibu.

Naanza na mimi..
"Siku hiyo ndo itakua siku ya mwisho Kindoki kucheza mpira.. Kwa kifupi atamstaafisha.. Na natamani iwe 30/09/2018" - Sembo

NB: Simba SC leo mida ya saa 10 jioni atakua katika dimba la CCM Kambarage akipambana na Mwadui FC.
 
Leo mnakula mbili za mapema.
 
Huyo ajuza ana uwezo wa kuwafunga madereva tax tu
 
Yule mchambuzi bora wa soka toka EFM, Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua, ameuliza hilo swali.. Wadau tumsaidie kumpa majibu.

Naanza na mimi..
"Siku hiyo ndo itakua siku ya mwisho Kindoki kucheza mpira.. Kwa kifupi atamstaafisha.. Na natamani iwe 30/09/2018" - Sembo

NB: Simba SC leo mida ya saa 10 jioni atakua katika dimba la CCM Kambarage akipambana na Mwadui FC.
Vipi zile point 6 za kanda ya ziwa mkuu? Mwanza mshachukua point 3?
 
kindoki angekuwa anadaka matikiti buguruni angekimbizwa kwa madeni angekuwa anayaangusha tu
 
Tunakuwahi maana bado upo hewani Mkuu. Baadaye, kama si kuibiwa simu, basi utakuwa sehemu not fikable.
Hahaha.. Usijali Mkuu mbinu za kujilinda leo nitazitilia umakini.
 
Yule mchambuzi bora wa soka toka EFM, Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua, ameuliza hilo swali.. Wadau tumsaidie kumpa majibu.

Naanza na mimi..
"Siku hiyo ndo itakua siku ya mwisho Kindoki kucheza mpira.. Kwa kifupi atamstaafisha.. Na natamani iwe 30/09/2018" - Sembo

NB: Simba SC leo mida ya saa 10 jioni atakua katika dimba la CCM Kambarage akipambana na Mwadui FC.
Rabbish
 
Mkuu umeelewa lakini mada? Masuala ya masamaki na masungura yanatoka wapi??
Labda ni kueleweshe kidogo.. Hapa tunazungumzia, mchezaji wa mpira wa miguu ambae ni machachari na hatari sana, Kagere... Na dansa aligeuka kua golikipa wa Yanga anaitwa, Kindoki.. Sasa swali la Oscar lilikua ni kama ikitokea wakakutana uwanjani, 30/09/2018.. Nani atawika zaidi ya mwenzake? Nadhani tumeelewana.
Screenshot_20180923-144859.jpeg
 
Mkuu umeelewa lakini mada? Masuala ya masamaki na masungura yanatoka wapi??
Labda ni kueleweshe kidogo.. Hapa tunazungumzia, mchezaji wa mpira wa miguu ambae ni machachari na hatari sana, Kagere... Na dansa aligeuka kua golikipa wa Yanga anaitwa, Kindoki.. Sasa swali la Oscar lilikua ni kama ikitokea wakakutana uwanjani, 30/09/2018.. Nani atawika zaidi ya mwenzake? Nadhani tumeelewana.View attachment 875430
Nuisance
 
Back
Top Bottom