Leo mnakula mbili za mapema.Yule mchambuzi bora wa soka toka EFM, Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua, ameuliza hilo swali.. Wadau tumsaidie kumpa majibu.
Naanza na mimi..
"Siku hiyo ndo itakua siku ya mwisho Kindoki kucheza mpira.. Kwa kifupi atamstaafisha.. Na natamani iwe 30/09/2018" - Sembo
NB: Simba SC leo mida ya saa 10 jioni atakua katika dimba la CCM Kambarage akipambana na Mwadui FC.
Huyo ajuza ana uwezo wa kuwafunga madereva tax tuYule mchambuzi bora wa soka toka EFM, Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua, ameuliza hilo swali.. Wadau tumsaidie kumpa majibu.
Naanza na mimi..
"Siku hiyo ndo itakua siku ya mwisho Kindoki kucheza mpira.. Kwa kifupi atamstaafisha.. Na natamani iwe 30/09/2018" - Sembo
NB: Simba SC leo mida ya saa 10 jioni atakua katika dimba la CCM Kambarage akipambana na Mwadui FC.
Vipi zile point 6 za kanda ya ziwa mkuu? Mwanza mshachukua point 3?Yule mchambuzi bora wa soka toka EFM, Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua, ameuliza hilo swali.. Wadau tumsaidie kumpa majibu.
Naanza na mimi..
"Siku hiyo ndo itakua siku ya mwisho Kindoki kucheza mpira.. Kwa kifupi atamstaafisha.. Na natamani iwe 30/09/2018" - Sembo
NB: Simba SC leo mida ya saa 10 jioni atakua katika dimba la CCM Kambarage akipambana na Mwadui FC.
Stress za maafa ziliwatoa mchezonVipi zile point 6 za kanda ya ziwa mkuu? Mwanza mshachukua point 3?
Mada ni mbwa koko kupigwa kimoja na mbaoWakuu nadhani mngestiki kwenye mada ingependeza zaidi.. Hahaha..
Na kwa Singida wewe unakula kama hizo..!Leo mnakula mbili za mapema.
Mkuu, angalau hujapinga kwamba mnakula mbili mapema.Na kwa Singida wewe unakula kama hizo..!
Tunakuwahi maana bado upo hewani Mkuu. Baadaye, kama si kuibiwa simu, basi utakuwa sehemu not fikable.Wakuu nadhani mngestiki kwenye mada ingependeza zaidi.. Hahaha..
RabbishYule mchambuzi bora wa soka toka EFM, Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua, ameuliza hilo swali.. Wadau tumsaidie kumpa majibu.
Naanza na mimi..
"Siku hiyo ndo itakua siku ya mwisho Kindoki kucheza mpira.. Kwa kifupi atamstaafisha.. Na natamani iwe 30/09/2018" - Sembo
NB: Simba SC leo mida ya saa 10 jioni atakua katika dimba la CCM Kambarage akipambana na Mwadui FC.
Mkuu umeelewa lakini mada? Masuala ya masamaki na masungura yanatoka wapi??Rabbish
NuisanceMkuu umeelewa lakini mada? Masuala ya masamaki na masungura yanatoka wapi??
Labda ni kueleweshe kidogo.. Hapa tunazungumzia, mchezaji wa mpira wa miguu ambae ni machachari na hatari sana, Kagere... Na dansa aligeuka kua golikipa wa Yanga anaitwa, Kindoki.. Sasa swali la Oscar lilikua ni kama ikitokea wakakutana uwanjani, 30/09/2018.. Nani atawika zaidi ya mwenzake? Nadhani tumeelewana.View attachment 875430