Pre GE2025 Oscar Oscar: Ipatikane tume huru ya uchaguzi, kurudisha heshima ya upigaji kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mtangazi wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM Oscar Oscar amezugumza pointi nzuri sana, kuliko wale machawa wakina Kitenge kufika hatua ya kuimba hadi nimbo za CCM mbele kwa mbele.
===================

Kwa Nchi kama ya kwetu idadi ya wapiga kura inapaswa kuongezeka kuliko kupungua kama ilivyo sasa. Kwa sabau vijana ni wengi hii morali watu wanapaswa kutima haki yao ya kikatiba kuchagua na kuchaguliwa na kupata viongozi ambao wao wanataka kuwaongoza.

Oscar aache chokochoko. Tayari bunge lilishapitisha tume iliyopo iitwe Tume huru ya uchaguzi. Anataka nini zaidi?
 
Bosi wake atampa onyo kali sababu yeye ni chawa namba moja wa ccm
 
Oscar aache chokochoko. Tayari bunge lilishapitisha tume iliyopo iitwe Tume huru ya uchaguzi. Anataka nini zaidi?
Nimecheka kwa nguvu, bunge hilihili la majizi ya kura?
Mtangazi wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM Oscar Oscar amezugumza pointi nzuri sana, kuliko wale machawa wakina Kitenge kufika hatua ya kuimba hadi nimbo za CCM mbele kwa mbele.
===================

Kwa Nchi kama ya kwetu idadi ya wapiga kura inapaswa kuongezeka kuliko kupungua kama ilivyo sasa. Kwa sabau vijana ni wengi hii morali watu wanapaswa kutima haki yao ya kikatiba kuchagua na kuchaguliwa na kupata viongozi ambao wao wanataka kuwaongoza.

aongezewe ulinzi vinginevyo atapatezwa na walinzi wa ccm waitwao watu wasiojulikana.
 
Oscar aache chokochoko. Tayari bunge lilishapitisha tume iliyopo iitwe Tume huru ya uchaguzi. Anataka nini zaidi?
Ile ni tume huru jina, but technicaly haina uhuru wowote.
True tume huru ni ile ambayo haiongiliwi na mihimili mingine kwneye maamuzi yao.

Mnaziona tume huru za america, UK? Umeshaikia serikal au prime minister anaingilia maamuzi ya hizo tume?
 
Oscar aache chokochoko. Tayari bunge lilishapitisha tume iliyopo iitwe Tume huru ya uchaguzi. Anataka nini zaidi?
Kwamba bunge la ccm lilipitisha tume iliyopo iliyoteuliwa na Mwenyekiti wa ccm ambaye pia ni mgombea Urais iitwe tume huru ya uchaguzi?? Hata mtoto mdogo ukimuuliza hawezi elewa!
 
Oscar aache chokochoko. Tayari bunge lilishapitisha tume iliyopo iitwe Tume huru ya uchaguzi. Anataka nini zaidi?
Anamaanisha kuwe na Tume Huru ya uchaguzi, siyo tuwe na Tume ya uchaguzi isiyo huru inaypitwa Tume Huru ya uchaguzi, kama alivyofanya Samia.
 
Mtangazi wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM Oscar Oscar amezugumza pointi nzuri sana, kuliko wale machawa wakina Kitenge kufika hatua ya kuimba hadi nimbo za CCM mbele kwa mbele.
===================

Kwa Nchi kama ya kwetu idadi ya wapiga kura inapaswa kuongezeka kuliko kupungua kama ilivyo sasa. Kwa sabau vijana ni wengi hii morali watu wanapaswa kutima haki yao ya kikatiba kuchagua na kuchaguliwa na kupata viongozi ambao wao wanataka kuwaongoza.

Upepo unabadilika hawa walikuwa machawa sasa wanatumia chaguzi za Chadema kama mfano wa uwazi! step nzuri
 
Anamaanisha kuwe na Tume Huru ya uchaguzi, siyo tuwe na Tume ya uchaguzi isiyo huru inaypitwa Tume Huru ya uchaguzi, kama alivyofanya Samia.
Tume huru wanayotaka ndo hii hii iliyopo. Tayari inaitwa tume huru ya uchaguzi.
 
Upepo unabadilika hawa walikuwa machawa sasa wanatumia chaguzi za Chadema kama mfano wa uwazi! step nzuri
Machawa wale wajinga akina Maulidi Kitenge iliyokuwa inarukaruka na kuimba mapambio ya CCM
 
Back
Top Bottom