Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kwann usijitoe wwMmoja ajitoe sadaka afe kwaajili yetu mfano lissu
Mimi nimekubaliana na hali mkuuKwann usijitoe ww
Nimecheka kwa nguvu, bunge hilihili la majizi ya kura?Oscar aache chokochoko. Tayari bunge lilishapitisha tume iliyopo iitwe Tume huru ya uchaguzi. Anataka nini zaidi?
Nimecheka kwa nguvu, bunge hilihili la majizi ya kura?Oscar aache chokochoko. Tayari bunge lilishapitisha tume iliyopo iitwe Tume huru ya uchaguzi. Anataka nini zaidi?
aongezewe ulinzi vinginevyo atapatezwa na walinzi wa ccm waitwao watu wasiojulikana.Mtangazi wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM Oscar Oscar amezugumza pointi nzuri sana, kuliko wale machawa wakina Kitenge kufika hatua ya kuimba hadi nimbo za CCM mbele kwa mbele.
===================
Kwa Nchi kama ya kwetu idadi ya wapiga kura inapaswa kuongezeka kuliko kupungua kama ilivyo sasa. Kwa sabau vijana ni wengi hii morali watu wanapaswa kutima haki yao ya kikatiba kuchagua na kuchaguliwa na kupata viongozi ambao wao wanataka kuwaongoza.
Ile ni tume huru jina, but technicaly haina uhuru wowote.Oscar aache chokochoko. Tayari bunge lilishapitisha tume iliyopo iitwe Tume huru ya uchaguzi. Anataka nini zaidi?
Kwamba bunge la ccm lilipitisha tume iliyopo iliyoteuliwa na Mwenyekiti wa ccm ambaye pia ni mgombea Urais iitwe tume huru ya uchaguzi?? Hata mtoto mdogo ukimuuliza hawezi elewa!Oscar aache chokochoko. Tayari bunge lilishapitisha tume iliyopo iitwe Tume huru ya uchaguzi. Anataka nini zaidi?
Wanafunzi wakiiba mitihani wanalaumiwa, ccm wakiiba uchaguzi wanapongezana!Nimecheka kwa nguvu, bunge hilihili la majizi ya kura?
Anamaanisha kuwe na Tume Huru ya uchaguzi, siyo tuwe na Tume ya uchaguzi isiyo huru inaypitwa Tume Huru ya uchaguzi, kama alivyofanya Samia.Oscar aache chokochoko. Tayari bunge lilishapitisha tume iliyopo iitwe Tume huru ya uchaguzi. Anataka nini zaidi?
Mtangazi wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM Oscar Oscar amezugumza pointi nzuri sana, kuliko wale machawa wakina Kitenge kufika hatua ya kuimba hadi nimbo za CCM mbele kwa mbele.
===================
Kwa Nchi kama ya kwetu idadi ya wapiga kura inapaswa kuongezeka kuliko kupungua kama ilivyo sasa. Kwa sabau vijana ni wengi hii morali watu wanapaswa kutima haki yao ya kikatiba kuchagua na kuchaguliwa na kupata viongozi ambao wao wanataka kuwaongoza.
Tume huru wanayotaka ndo hii hii iliyopo. Tayari inaitwa tume huru ya uchaguzi.Anamaanisha kuwe na Tume Huru ya uchaguzi, siyo tuwe na Tume ya uchaguzi isiyo huru inaypitwa Tume Huru ya uchaguzi, kama alivyofanya Samia.
hii ni tume ya uchafuzi,tume ya uchaguzi haipoTume huru wanayotaka ndo hii hii iliyopo. Tayari inaitwa tume huru ya uchaguzi.
Machawa wale wajinga akina Maulidi Kitenge iliyokuwa inarukaruka na kuimba mapambio ya CCMUpepo unabadilika hawa walikuwa machawa sasa wanatumia chaguzi za Chadema kama mfano wa uwazi! step nzuri