Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Nimetafakari Sana na kuikumbuka Lipuli FC ya Iringa ambayo ilishuka daraja baada ya kuonekana inaikomalia club ya Yanga.
Mashabiki na wanachama wa Yanga walisema tutahakikisha Lipuli inapotea katika mpira wa miguu na kweli ni msimu huohuo ambapo moja ya tukio la kukumbukwa ni mpira uliokitwa ndani ya nyavu za goli refa kuamua ni iwe kona ilihali mpira haukuguswa na mchezaji yeyote wa Yanga zaidi ya golikipa wao kuuokota ndani ya wavu.
Kitu hicho kilihaidiwa juzi na mashabiki wa timu hiyo pale Ihefu ilipowakunguta goli 2.Waliumia Sana na wakati wakihojiwa walisema wataifanyia Ihefu kilekile walichoifanyia Lipuli.
Tangu mechi hiyo mpaka sasa Ihefu imecheza mechi 8 bila kupata ushindi katika michezo hiyo waluyocheza nyumbani na ugenini
Msimu huu wameshuka dimbani Mara 12 na wamepata ushindi Mara 2 sare 4 na vipigo 6.
[emoji989]Wananchi mna tabia mbaya [emoji3][emoji3]