Oscar oscar: Kila timu ikimkamia sana Yanga lazima ishuke daraja

NB Kuna mwaka pia Makolo walitaka kushuka daraja ....sema tu huruma za yanga zikaiponesha[emoji23][emoji23]
Kawaulize wakubwa wako wakueleze vizuri hii story, huijui wewe. Unajua kama kwenye ile mechi Yanga ilikuwa ishinde ili wawe mabingwa?

Unajua kama Sahau Kambi na Minziro waligombana baada ya ile mechi? Kawaulize wakubwa wako wakusaidie.

Ova
 
Lol! Yaani kutoa ufafanuzi b..., ndiyo kumerudisha suala la jezi?

Ova
Ule sio ufafanuzi bali uchokozi wakati nilishakuonea huruma b…

Tena nikishakuvalisha nakupiga na picha kabisa, utapendeza sana b…
Lols
 
Kawaulize wakubwa wako wakueleze vizuri hii story, huijui wewe. Unajua kama kwenye ile mechi Yanga ilikuwa ishinde ili wawe mabingwa?

Unajua kama Sahau Kambi na Minziro waligombana baada ya ile mechi? Kawaulize wakubwa wako wakusaidie.

Ova
B… Kwani na wewe ulikuwepo bwana? Hebu tuache huko.

Story za kusikia kila mmoja atasema yake, hakuna mwenye uhakika hasa nini kilitokea.
 
Yanga hakuwa tayari simba ashuke daraja
 
B… Kwani na wewe ulikuwepo bwana? Hebu tuache huko.

Story za kusikia kila mmoja atasema yake, hakuna mwenye uhakika hasa nini kilitokea.
Lol! Tatizo lenu mnadanganywa sana na hawa wachambuzi wenu, hadi huu ukweli mnaona ni uongo.

Ova
 
Back
Top Bottom