Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Lol! Yaani kutoa ufafanuzi b..., ndiyo kumerudisha suala la jezi?Umeyataka mwenyewe b…
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol! Yaani kutoa ufafanuzi b..., ndiyo kumerudisha suala la jezi?Umeyataka mwenyewe b…
Kawaulize wakubwa wako wakueleze vizuri hii story, huijui wewe. Unajua kama kwenye ile mechi Yanga ilikuwa ishinde ili wawe mabingwa?NB Kuna mwaka pia Makolo walitaka kushuka daraja ....sema tu huruma za yanga zikaiponesha[emoji23][emoji23]
Bila kusahau Simba pia ni tatizoHii nchi tungekua mbali sana kimpira isingekuwepo yanga....
Hawa jamaa wana fitina za kijinga sana...
Wako kama nyoka, anakung'ata halafu hakuli...
Hata hizi draw za simba, wao ndio wamefunga wachezaji wetu.
Ule sio ufafanuzi bali uchokozi wakati nilishakuonea huruma b…Lol! Yaani kutoa ufafanuzi b..., ndiyo kumerudisha suala la jezi?
Ova
B… Kwani na wewe ulikuwepo bwana? Hebu tuache huko.Kawaulize wakubwa wako wakueleze vizuri hii story, huijui wewe. Unajua kama kwenye ile mechi Yanga ilikuwa ishinde ili wawe mabingwa?
Unajua kama Sahau Kambi na Minziro waligombana baada ya ile mechi? Kawaulize wakubwa wako wakusaidie.
Ova
Yanga hakuwa tayari simba ashuke darajaKawaulize wakubwa wako wakueleze vizuri hii story, huijui wewe. Unajua kama kwenye ile mechi Yanga ilikuwa ishinde ili wawe mabingwa?
Unajua kama Sahau Kambi na Minziro waligombana baada ya ile mechi? Kawaulize wakubwa wako wakusaidie.
Ova
Lol! Tatizo lenu mnadanganywa sana na hawa wachambuzi wenu, hadi huu ukweli mnaona ni uongo.B… Kwani na wewe ulikuwepo bwana? Hebu tuache huko.
Story za kusikia kila mmoja atasema yake, hakuna mwenye uhakika hasa nini kilitokea.