Oscar oscar: Kila timu ikimkamia sana Yanga lazima ishuke daraja

Sio huna tim wew ni utopwinyo og ,,sema unaona li tim lako linaanza kuvulunda huko CL una anza kujificha kwenye chaka la kwamba huna tim[emoji2957][emoji2957]
Amna labda kidgo naikubali singida big star
 
Washamba sana yanga wao wameifunga simba goli 5 ila hali swari yaani wao kufungwa na ihefu imekuwa nongwa msemaji wao kila inapocheza ihefu anapost anasema na leo wazee wangu fanyeni kazi.
kwani si mlitufungaga 5 mgomo wa wachezaji mbona hali pia ilikuwa shwari...hawa wengine nyie ndo mnawaponza kuwapa hela ili watukamie NAUNGA MKONO MKAKATI WA KUWASHUSHA DARAJA IHEFU
 
Edo punguza shobo basi.
 
kwani si mlitufungaga 5 mgomo wa wachezaji mbona hali pia ilikuwa shwari...hawa wengine nyie ndo mnawaponza kuwapa hela ili watukamie NAUNGA MKONO MKAKATI WA KUWASHUSHA DARAJA IHEFU
Mkuu unasahau sana si juzi tu hapa wakuu wa mikoa ilikuwa wanatangaza hela kwa team zitakazo cheza na simba na kuifunga walikuwa wanaahidiwa wakifunga au kutoa droo au umesahau ulisikia simba wanalalamika hta siku moja ila nyinyi kufungwa na ihefu imekuwa nongwa kwasababu mnachofanya ni ujinga team ina waswahili wengi sana.
 
Huyo ni mchambuzi.....hana timu ....kama Mimi tu sisi wachambuzi hatuna mahaba na timu yeyote

NB Kuna mwaka pia Makolo walitaka kushuka daraja ....sema tu huruma za yanga zikaiponesha[emoji23][emoji23]
Churaaaqq
 
Mkuu umemsahau mashujaa na alikuwa na kidomodomo kuwa eti mechi ya kwanza ya ligi apige na Yanga. Yuko wapi Sasa?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi tungekua mbali sana kimpira isingekuwepo yanga....

Hawa jamaa wana fitina za kijinga sana...

Wako kama nyoka, anakung'ata halafu hakuli...

Hata hizi draw za simba, wao ndio wamefunga wachezaji wetu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hili hawalisemi zaidi ya kukomalia kutuazima mchezaji.
Mdakuzi
Huruma gani wakati tuliwapiga hadi mkaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe? Tuliwapiga kwa uwezo sio kwa huruma.

Ndiyo maana Minziro na Sahau Kambi waligombana uwanjani baada ya mechi. Ila sisi tuliwasaidia mchezaji kwa kuwahurumia.

Ova
 
Kwakuwa sifahamu hili kwa undani, leo nakuacha uniokote b…

Wewe dawa yako kukuvalisha jezi ya Yanga basi!
 
Kwakuwa sifahamu hili kwa undani, leo nakuacha uniokote b…

Wewe dawa yako kukuvalisha jezi ya Yanga basi!
Lol! B..., hili si tulishalimaliza jamani kwa amani kabisa? Linarudishwaje kwa namna hii?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…