Ambangile ndio yule anaependa kuingiza maneno mawili matatu ya kiingereza...basi.. sentenso haitimii... ndio mchambuzi wetu huyo.Hapo hamna wachambuzi, wote hao wanaongekea siasa ya mpira wanaochambua mpira technically ni Ambagile w wasafi, Ally Kamwe na Ally mayai wa azam wengine hawawezi.
Ambangile ndio yule anaependa kuingiza maneno mawili matatu ya kiingereza...basi.. sentenso haitimii... ndio mchambuzi wetu huyo.
Ndio hamna kitu...Angalia content usiangalie lugha
Well.Ambangile ndio yule anaependa kuingiza maneno mawili matatu ya kiingereza...basi.. sentenso haitimii... ndio mchambuzi wetu huyo.
Ambangile huwa hachanganyi lugha..ni mara chache mno nasema mno hutokea akaongea na kiingerezaAmbangile ndio yule anaependa kuingiza maneno mawili matatu ya kiingereza...basi.. sentenso haitimii... ndio mchambuzi wetu huyo.
Ambangile ni mwoga wa kupigwa mawe hasa na simba na yanga so hujitahidi kubalance na hapo ndiyo anapokosea..eddo na dauda wao kama ni nyeusi ni nyeusi hawaogopi chochote.kihemba na jemedari nao wako vizuri hawajali mihemko ya vilabu vya kariakoo kama wamezingua huwaambia ukweliWell.
Ambangile udhaifu wake ni uoga wa kutamka msimamo wa anachoamini. Mara nyingi anataka awe upande salama kwa kufuata ngoma ya mashabiki. Huwa nampenda Edo Kumwembe, haangalii usalama wake, anatamka anachoamini hata kama kitawaudhi baadhi au upande mmoja
Sikuvutiwa na Wasafi FM kwa uwepo wa Maulidi Kitenge na imekuwa bahati mbaya karejea E FM. Sina ujanja.Hapo hamna wachambuzi, wote hao wanaongekea siasa ya mpira wanaochambua mpira technically ni Ambagile w wasafi, Ally Kamwe na Ally Mayayi wa azam wengine hawawezi.
Kwako wewe kujua Kiingereza ndo kujua mpira?🙄Ndio hamna kitu...