Oscar Oscar ni Mchambuzi asiyejitambua

Oscar Oscar ni Mchambuzi asiyejitambua

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Namsikiliza hapa eti kwa sababu Taifa Stars inacheza kitu kinaitwa mini tournament basi haitambuliwi na CAf wala Fifa wakati iko kwenye week ya kalenda ya FIFA.

What a waste HIVI HAYA MAMTU YANAPATAJE HIZI KAZI ZA UCHAMBUZI?

Jesus Christ, God damn it
 
Acha kuwasikiliza mkuu mm hata redio hua nasikiliza labda nikikuta daladala wameweka ila kwangu hua sina mda wa kusikiliza upuuuzi
Cha kusikitisha yule jamaa huwa anajiona smart sana , mara ya kwanza nilikuwa namchukulia kama mtu mpenda mizaha ila the truth is, he is an Imbecile, dunderhead kabisa
 
Anaboaa sipendi kusikiliza efm radio wala tv hyo ni redio ya utopolo kwenye chambuzi zao vipindi vya mpira
 
Namsikiliza hapa eti kwa sababu Taifa Stars inacheza kitu kinaitwa mini tournament basi haitambuliwi na CAf wala Fifa wakati iko kwenye week ya kalenda ya FIFA.

What a waste HIVI HAYA MAMTU YANAPATAJE HIZI KAZI ZA UCHAMBUZI?

Jesus Christ, God damn it
Oscar Oscar hana tofauti na Gentamycine
 
Namsikiliza hapa eti kwa sababu Taifa Stars inacheza kitu kinaitwa mini tournament basi haitambuliwi na CAf wala Fifa wakati iko kwenye week ya kalenda ya FIFA.

What a waste HIVI HAYA MAMTU YANAPATAJE HIZI KAZI ZA UCHAMBUZI?

Jesus Christ, God damn it
Wachambuz wa bongo hata kucontrol mpira mguuni hawawezi uchwara tu
 
Ukiacha mizaha yake kule Instagram, Oscar Oscar ni moja Kati ya wachambuzi waziri kabisa WA mchezo WA mpira
Labda kama una sababu zako zingine
Kama yule bwege in mchambuzi mzuri basiiii hii nchi INA shida kubwa sana hill jinga linabisha na msauti wake mkubwa kwamba mini tournament ya tff haitaingia kwenye ranks za FIFA wakati iko kwenye kalenda na wewee unamsifia?
 
Back
Top Bottom