njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Cha kusikitisha yule jamaa huwa anajiona smart sana , mara ya kwanza nilikuwa namchukulia kama mtu mpenda mizaha ila the truth is, he is an Imbecile, dunderhead kabisaAcha kuwasikiliza mkuu mm hata redio hua nasikiliza labda nikikuta daladala wameweka ila kwangu hua sina mda wa kusikiliza upuuuzi
Mimi natazamaNgoja tuone...
Oscar Oscar hana tofauti na GentamycineNamsikiliza hapa eti kwa sababu Taifa Stars inacheza kitu kinaitwa mini tournament basi haitambuliwi na CAf wala Fifa wakati iko kwenye week ya kalenda ya FIFA.
What a waste HIVI HAYA MAMTU YANAPATAJE HIZI KAZI ZA UCHAMBUZI?
Jesus Christ, God damn it
Huyu Huyu Popoma [emoji23]Oscar Oscar hana tofauti na Gentamycine
Wachambuz wa bongo hata kucontrol mpira mguuni hawawezi uchwara tuNamsikiliza hapa eti kwa sababu Taifa Stars inacheza kitu kinaitwa mini tournament basi haitambuliwi na CAf wala Fifa wakati iko kwenye week ya kalenda ya FIFA.
What a waste HIVI HAYA MAMTU YANAPATAJE HIZI KAZI ZA UCHAMBUZI?
Jesus Christ, God damn it
HujakoseaOscar Oscar hana tofauti na Gentamycine
Kama yule bwege in mchambuzi mzuri basiiii hii nchi INA shida kubwa sana hill jinga linabisha na msauti wake mkubwa kwamba mini tournament ya tff haitaingia kwenye ranks za FIFA wakati iko kwenye kalenda na wewee unamsifia?Ukiacha mizaha yake kule Instagram, Oscar Oscar ni moja Kati ya wachambuzi waziri kabisa WA mchezo WA mpira
Labda kama una sababu zako zingine