ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kweli jamaa Ni mjuaji na mbabe hata kwa wachambuzi wenzake..sijui walimtoa wapi huyu jamaa..Kuna mwingine yupo wasafi anajita job job yani jamaa uchambuzi wake ni midharau tupu anachambua soka Kwa kejeli kweli
Hana quality zozoteNamsikiliza hapa eti kwa sababu Taifa Stars inacheza kitu kinaitwa mini tournament basi haitambuliwi na CAf wala Fifa wakati iko kwenye week ya kalenda ya FIFA.
What a waste HIVI HAYA MAMTU YANAPATAJE HIZI KAZI ZA UCHAMBUZI?
Jesus Christ, God damn it
Mpuuz yule jamaa tokea aanze kwenda marekeni na jamaa ake na kwenda ngorngoro kwenda kuwa suta wamasai akili Hakuna paleNamsikiliza hapa eti kwa sababu Taifa Stars inacheza kitu kinaitwa mini tournament basi haitambuliwi na CAf wala Fifa wakati iko kwenye week ya kalenda ya FIFA.
What a waste HIVI HAYA MAMTU YANAPATAJE HIZI KAZI ZA UCHAMBUZI?
Jesus Christ, God damn it
Anatakiwa atambue hata yeye anaweza jiita mchambuzi na hakuna tatizo kabisaAkuna chuo cha uchambuzi ukilijua ilo hutoendelea kutoa lawama