UnprofessionalUlikuwa ushindi wa majini lazima waupe heshima na utukufu.Walichinja hadi sadaka ya ng'ombe na waabudu mizimu wakanywa supu
Ziache kulegea kwa wale waliopigwa 5 zilegee kwa mabingwa? [emoji1787]
Au iitwe Bilioshirini[emoji1787]GSM anafadhili wajawazito wenye kuwaza kama uwazavyo wewe [emoji23]
Au "INTERNATIONAL WATAMBIKIA UWANJA STADIUM"Uitwe " NEW WATUPA MAJINI ARENA"
Makolo walituaibisha sanaAu "INTERNATIONAL WATAMBIKIA UWANJA STADIUM"
Hili hata Wasouth Afrika hasa mashabiki wa Orlando Pirates watalikubali sana wakiwakumbuka Makolo
Hivi wewe dogo kichwa chako kiko sawa kweli, au ni bangi
Millembe umekimbia Lin mkuu???Mtangazaji maarufu wa kituo kikubwa kimoja hapa town wasafi ..... Oscar Oscar amependekeza uwanja mpya utakaojengwa na wananchi uitwe 5_1 Stadium
Mnasemaje kuhusu suala hili la kizalendo ...ndugu watanzania??View attachment 2901471
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Naweza kuwa baba yako kijanaMillembe umekimbia Lin mkuu???