ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Sawa endelea na hio kazi yakoDaima mbele mwiko nyuma ndio wanaopaswa kufanya hivyo, Waambie wajitafakari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa endelea na hio kazi yakoDaima mbele mwiko nyuma ndio wanaopaswa kufanya hivyo, Waambie wajitafakari.
Bora sisi mkuu....zile pesa mlizochangia .... makolo mlizopeleka wapMazwazwa mmependekeza jina ila hamna hela ya kujenga, mwenye pesa yake inamjumlisha katika hilo kundi la mazwazwa [emoji23][emoji23]
Deal done [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23]Huyu Jamaa nahisi mbili kasorobo, sijawahi mwelewa kabisa kama havuti bangi basi Kuna fyuzi imechomoka
Majini fc stadium...
Kina pacome na aziza kei
Yaah mkuu...wataendelea kuwakandaKina pacome na aziza kei
Majini fc stadium..jina hulitaki?
Kabisa si majini hayo kama asemavyo fiston mayele
Ushatupiwa jini tayari
Jina ni 5__1 stadium [emoji23]Majini fc stadium..jina hulitaki?
Jina ni Majini Fc hili ni ingizo jipyaaaaa
Ulikuwa ushindi wa majini lazima waupe heshima na utukufu.Walichinja hadi sadaka ya ng'ombe na waabudu mizimu wakanywa supuMtangazaji maarufu wa kituo kikubwa kimoja hapa town wasafi ..... Oscar Oscar amependekeza uwanja mpya utakaojengwa na wananchi uitwe 5_1 Stadium
Mnasemaje kuhusu suala hili la kizalendo ...ndugu watanzania??View attachment 2901471
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app