Oscar Oscar: Uwanja wa mpya wa Yanga uitwe 5-1 stadium

Oscar Oscar: Uwanja wa mpya wa Yanga uitwe 5-1 stadium

Mtangazaji maarufu wa kituo kikubwa kimoja hapa town wasafi ..... Oscar Oscar amependekeza uwanja mpya utakaojengwa na wananchi uitwe 5_1 Stadium

Mnasemaje kuhusu suala hili la kizalendo ...ndugu watanzania??View attachment 2901471

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ulikuwa ushindi wa majini lazima waupe heshima na utukufu.Walichinja hadi sadaka ya ng'ombe na waabudu mizimu wakanywa supu
 
Back
Top Bottom