Oscar oscar wa E. FM na jorge ambangile wa MAGIC FM wachambuzi bora wa michezo nchini tanzania

Oscar oscar wa E. FM na jorge ambangile wa MAGIC FM wachambuzi bora wa michezo nchini tanzania

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Nimekua nikisikiliza vipindi mbali mbali vya michezo katika radio nchini tanzania
Wachambuzi wengi wa michezo ni wengi sana wazuri lakini hawa wawili kwangu hakuna mfano wake kwa hapa nchini tanzania najiuliza kama wamesomea hii kazi ya uchambuzi wa michezo basi walikua wakisikiliza vizuri sana darasani
Hongereni sana oscar oscar wa E. FM na jorge ambangile wa MAGIC FM
 
Kwa upande wako, ila upande wangu mwl kashasha na Ali mayai wapo vizuri sana, kwani hawa wamekuwa ndani ya mifumo ya mpira wa miguu kwa mda mrefu na mpira wanaujua.
Mwalimu kashasha pia ni mzuri ila namuona kama mwalimu wa mpira wa miguu zaidi
 
Hakika oscar oscar ni kifaa ...kwenye swala la michezo hakika e-fm hawana mpinzani
 
Hivi kuna yule jamaa ambaye huwa anamuiga Jeff namna ya kuzungumza,anaitwa nani?.
 
Baba geooorgee.
Huyu jamaa yuko magic fm, anachambua frezh sana halafu kama huwa ana chambua kwa hisia vile, big up sana bwana Ambangile
Kuhusu Oscar ,huyo inajulikana tusha msisifia mno, ana weza
 
Kuna mmoja simfahamu naomba ajirekebishe,

Huwezi kuisifu Radio ambayo mtangazaji wake,

Badala ya kuitamka Barcelona ,yeye anatamka Bathelona,

Ipo siku ntamfata humo studio nimtoe kwa bakora,

kama hawezi kutamka chama kubwa kama Barcelona weka pembeni huyo mtangazaji.
 
Ila mkuu Wahispaniola wenyewe ndio wanavyotamka hivyo Bathelona!
 
Kuna mmoja simfahamu naomba ajirekebishe,

Huwezi kuisifu Radio ambayo mtangazaji wake,

Badala ya kuitamka Barcelona ,yeye anatamka Bathelona,

Ipo siku ntamfata humo studio nimtoe kwa bakora,

kama hawezi kutamka chama kubwa kama Barcelona weka pembeni huyo mtangazaji.
Wewe ndio hujui kuitamka... Kihispaniola hakina "S" sound so Barcelona hutamkwa Bathelona
 
Kuna jamaa anaitwa Jeff Leah,yuko poa sana....na hata huyu Ibrahim Masoud Maestro hawa jamaa wawili wanaujua sana mpira!!!
 
Back
Top Bottom