eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Nimekua nikisikiliza vipindi mbali mbali vya michezo katika radio nchini tanzania
Wachambuzi wengi wa michezo ni wengi sana wazuri lakini hawa wawili kwangu hakuna mfano wake kwa hapa nchini tanzania najiuliza kama wamesomea hii kazi ya uchambuzi wa michezo basi walikua wakisikiliza vizuri sana darasani
Hongereni sana oscar oscar wa E. FM na jorge ambangile wa MAGIC FM