eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Mwalimu kashasha pia ni mzuri ila namuona kama mwalimu wa mpira wa miguu zaidiKwa upande wako, ila upande wangu mwl kashasha na Ali mayai wapo vizuri sana, kwani hawa wamekuwa ndani ya mifumo ya mpira wa miguu kwa mda mrefu na mpira wanaujua.
Kuna mmoja simfahamu naomba ajirekebishe,
Huwezi kuisifu Radio ambayo mtangazaji wake,
Badala ya kuitamka Barcelona ,yeye anatamka Bathelona,
Ipo siku ntamfata humo studio nimtoe kwa bakora,
kama hawezi kutamka chama kubwa kama Barcelona weka pembeni huyo mtangazaji.
Wewe ndio hujui kuitamka... Kihispaniola hakina "S" sound so Barcelona hutamkwa BathelonaKuna mmoja simfahamu naomba ajirekebishe,
Huwezi kuisifu Radio ambayo mtangazaji wake,
Badala ya kuitamka Barcelona ,yeye anatamka Bathelona,
Ipo siku ntamfata humo studio nimtoe kwa bakora,
kama hawezi kutamka chama kubwa kama Barcelona weka pembeni huyo mtangazaji.
Ila mkuu Wahispaniola wenyewe ndio wanavyotamka hivyo Bathelona!