Oscar oscar wa E. FM na jorge ambangile wa MAGIC FM wachambuzi bora wa michezo nchini tanzania

osca ni mchambuzi mzuri, ila hawezi hata kupiga "danadana mbili" yaani! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani kujua kuchambua mpira ni mpaka ujue kupiga hata danadana?
 
Heshima kwa George Ambangile.

huyu jamaa kwa sasa naweza sema ni number one in Tanzania, jamaa anajua kuchambua
 
Hicho ni ki'thee'tu mkubwa uzuri unamuelewa kua anamaanisha nini
Oscar ni hatari
 
Wewe ndio hujui kuitamka... Kihispaniola hakina "S" sound so Barcelona hutamkwa Bathelona
Kwa hiyo unawatangazia Wahispaniola AU watanzania?

alafu kwenye Barcelona hakuna S kuna C,

endeleeni kujifanya wahispaniola wakati wasikilizaji wenu ni sisi watanzania.
 
Ukisikiliza uchambuz wa efm alafu usiku ukasikilize clouds duu yaan ni km kufananisha marekani na mbagala,clouds likipindi lenu la michezo mliue
Sports Extra ratings zinashuka kazi yao kubishana kama wale jamaa wawili Issa Maeda na Yule jamaa mfupi jina limenitoka...useless program
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…