Oscar oscar wa E. FM na jorge ambangile wa MAGIC FM wachambuzi bora wa michezo nchini tanzania

Oscar oscar wa E. FM na jorge ambangile wa MAGIC FM wachambuzi bora wa michezo nchini tanzania

Kuna mmoja simfahamu naomba ajirekebishe,

Huwezi kuisifu Radio ambayo mtangazaji wake,

Badala ya kuitamka Barcelona ,yeye anatamka Bathelona,

Ipo siku ntamfata humo studio nimtoe kwa bakora,

kama hawezi kutamka chama kubwa kama Barcelona weka pembeni huyo mtangazaji.
Hicho ni ki'thee'tu mkubwa uzuri unamuelewa kua anamaanisha nini
Oscar ni hatari
 
Wewe ndio hujui kuitamka... Kihispaniola hakina "S" sound so Barcelona hutamkwa Bathelona
Kwa hiyo unawatangazia Wahispaniola AU watanzania?

alafu kwenye Barcelona hakuna S kuna C,

endeleeni kujifanya wahispaniola wakati wasikilizaji wenu ni sisi watanzania.
 
Ukisikiliza uchambuz wa efm alafu usiku ukasikilize clouds duu yaan ni km kufananisha marekani na mbagala,clouds likipindi lenu la michezo mliue
Sports Extra ratings zinashuka kazi yao kubishana kama wale jamaa wawili Issa Maeda na Yule jamaa mfupi jina limenitoka...useless program
 
Back
Top Bottom