Osha mikono baada ya kushika hela

Osha mikono baada ya kushika hela

ilaz

Senior Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
100
Reaction score
61
Siku nilimtembelea jamaa yangu wa kitambo huko pande za temeke. Baada ya stori mbili tatu akanichukua kutembea baa ya jirani. Mimi sikunywa ila jamaa alipiga bia kadhaa. Eneo lilikuwa la kawaida. Kwenye mida ya saa 5 usiku naona watu wananyanyuka na kuelekea nyuma ya baa, jamaa akaniambia twende. Kufika kule MC akatoa tangazo kuwa simu zizimwe watu tukazima ghafla akaingia dada mmoja tipwa tipwa scani akiwa na mtandio na
sidiria bila chup* akaanza kucheza mauno kwa sana anakuja unampakata anakatika juu ya mapaja. Hatari!
Ilipofika muda wa kutunza sasa hapa nilichoka ila wazoefu waliona kawaida tu. Mtandio ukatupwa kule mambo hadharani mtu anaweka buku chini anashika papuchi anaondoka. Kilichonipelekea kuanzisha mada hii ni baadhi ya watunzaji wanachomeka noti ndani kabisa ya kipochi. Dah !
Rika la wengi ni vijana 18-30 yrs.
Sasa hivi nimeamua kila nikishika hela lazima ninawe mikono maana huwezi imetoka wapi.
 
Pesa hata kama ikawa na kinyesi thamani yake ni ile ile hivyo mi nilifikiri kuanzia Leo unaachana kabisa na matumizi ya pesa kwa ulicho kishuhudia
 
Kumbe wewe ndiyo bure kabisa Mkuu!!!

Sasa unaogopa Pesa zilizopita utamuni wakati wenzio tunapanyonya utamuni kwa midomo yetu.

Basi kama unaogopa, uwe unazifua Pesa zako na kuzianika ili ziwe safi.
 
Pesa hata kama ikawa na kinyesi thamani yake ni ile ile hivyo mi nilifikiri kuanzia Leo unaachana kabisa na matumizi ya pesa kwa ulicho kishuhudia
Hahaha
 
Siku nilimtembelea jamaa yangu wa kitambo huko pande za temeke. Baada ya stori mbili tatu akanichukua kutembea baa ya jirani. Mimi sikunywa ila jamaa alipiga bia kadhaa. Eneo lilikuwa la kawaida. Kwenye mida ya saa 5 usiku naona watu wananyanyuka na kuelekea nyuma ya baa, jamaa akaniambia twende. Kufika kule MC akatoa tangazo kuwa simu zizimwe watu tukazima ghafla akaingia dada mmoja tipwa tipwa scani akiwa na mtandio na
sidiria bila chup* akaanza kucheza mauno kwa sana anakuja unampakata anakatika juu ya mapaja. Hatari!
Ilipofika muda wa kutunza sasa hapa nilichoka ila wazoefu waliona kawaida tu. Mtandio ukatupwa kule mambo hadharani mtu anaweka buku chini anashika papuchi anaondoka. Kilichonipelekea kuanzisha mada hii ni baadhi ya watunzaji wanachomeka noti ndani kabisa ya kipochi. Dah !
Rika la wengi ni vijana 18-30 yrs.
Sasa hivi nimeamua kila nikishika hela lazima ninawe mikono maana huwezi imetoka wapi.
so kwa siku unanawa mala ngapi.....
kila kitu ni kichafu tuu yan ukianza kufatilia bhas utatumia maji hata lita 100 kwa siku kwa ajili ya kunawa tuu
mfano kwenye daladala kila unachoshika kuna mtu kafanyia uchafu mfano kamasi, kinyesi na hata mke bhas itabidi ukimshika unawe maana wanatumia makemikali kibao mwilini mwao, wanashikwa na wengi pia wanafanya mengi ambayo ukiyajua bhas utakuwa unaoga kabisa sio kunawa
 
Kosa la jinai hilo mkuu, wakijua wenye pesa zao kama ni bar ndio itakiwa mwisho wake siku hiyo hiyo na lupango wataenda
 
Back
Top Bottom