Ostadh Juma Namusoma Aibu Mbaya

Ostadh Juma Namusoma Aibu Mbaya

Kama mnavyoona kwa picha,maisha ya baba yake ni duni wakati wasanii mjini wanamsujudu,wadogo zake wamefukuzwa shule kwa kukosa ada.

BABA YAKE AMLAANI YEYE NA WANAOMUIMBA KWENYE MUZIKI.

Hivi huyu jamaa ana mchango gan ktk jamii! Au mchango wake ktk magazeti ya udaku!.ata kwa hao wasanii wa muziki wa kizazi kipya cjaona mchango wake kawasaidia nn! Au labda anawasaidia kuwapa magar ya kutembelea hapa mjini!,kwa kweli cjaona mchango wake wowote uyo ostaz juma,tunampaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Point sana Mkuu, yaani nimekupenda sana, kweli yaan wazazi wetu hawa waache tu wabaki kuwa wazazi ila kuna mambo mengine aiseeh hapana hata kama wametuzaa ila too much, unakuta kakutekeleza miaka kibao umehustle wee ukafanikiwa badae wanaanza ooh maneno kibao
Kama alimtelekeza mtoto wake na hajapata malezi ya wazazi hapo sawa inakuwa ngumu kuwakumbuka...lakini kama wazazi waliangaika na wew kwa namna yoyote...ni vzuri kuwakumbuka hata kwa kidogo utakacho jaliwa....kumbuka mzazi anapokushukuru anakuombea zaidi na anakufungulia milango ya baraka zaidi...
 
Daah! Sijaamini kama we ndo unaongea hayo maneno..... Hakika kazi ipo hapa.!!!!! Hivi wewe uhusiano wako na wazizi wako upo poa kwaeli??!!!! Hivi we unaona huyo mzee hapo angeweza kumpa mtaji gani ye mwenyewe anaitaji mtaji.

We unaona maisha anayoishi Namsoma hapa mjini ni sawa wazizi wake kuishi kama inavoonekana hapo?? DAh yani nina maswali mengi kweli kwako but nachoka tu kuandika mana hata sina uhakika kama hata utanielewa maana unaonesha hulewi hadi bakora wewe.

Yaaaakkkhhhh..... Ngoja niishie hapa nsije tapika mie.
mi na wazazi wangu tunaelewana vizuri sana,wamenipa elimu,na bado wananisaidia na kunikumbuka,na pia mi nawasaidia pale napokuwa na uwezo,sometimes nawasaidia hata bila wao kuniambia maana mapungufu mengine mtu unayaona tu hata bila kuambiwa.
Sasa unakuta mzazi ndo alikuwa anapinga maendeleo yako,hajakusomesha,hajakupa hata mtaji,umefight mwenyewe hata hujakaa vizuri bado lawama zinaanza tena
 
Sasa tuhitimishe hakuna mtu anayejuwa back ground yao.wapo wazazi wanatelekeza watoto wao wakishaona kuwa ana kipato ndio anamsogelea na kuanza kulalamika.naamini wazazi wanaojuwa wajibu wao kwa watoto wao hawalalamiki hadharani.

Uko sahihi mimi ni mmoja pia niliotelekezwa na mshua nikiwa na miaka 2 tu pamoja na dada zangu.

Sasa hivi simu zinaingia kwa kasi kueleza wana shida wengine wanajitambulisha baba wadogo ata sijawai kuwaona.
 
Ndo uwasaidie na uwatafute uwajue ndugu zako
 
Hata kama kusomesha wadogo zake si jukumu lake sidhani kama kuna binadam atapenda kuona familia yake bado inateseka kwa njaa au ata ada ya shule ya kata hawawezi kumudu hali ya kuwa yeye anabadilisha magari mjini na kuhudumia wasanii ata kama wazazi hawakukusomesha.
Kukuleta duniani na kukulea pekee ni jambo kubwa.
 
Mambo ya familia ni magumu sana tena sana, tuwashukuru tu na kuwaheshimu wazazi wetu kwa kuwa ndio miungu yetu apa Duniani, ila haya mambo magumu sana
 
Nawashangaa sana wazazi ambao huwa wanawalaumu watoto wao eti wamesahaulika.
Utakuwa hajamsomesha hata mtoto,hajampa hata mtaji wa kutafuta maisha,leo mtoto akitoka baada ya kumpa support zaidi anabaki kupiga tu kelele eti ametelekezwa
Shangaa eti matatizo yake anamlaumu mwanae kati ya baba na mtoto nani alitangulia kuiona dunia?yeye kama ujana wake hakutengeneza maisha,mwanae sio lazima amsaidie na yeye mtoto ana familia yake.
 
Shangaa eti matatizo yake anamlaumu mwanae kati ya baba na mtoto nani alitangulia kuiona dunia?yeye kama ujana wake hakutengeneza maisha,mwanae sio lazima amsaidie na yeye mtoto ana familia yake.

umeongea logic mkuu, sijui watu wanalalamika kitu gani, suala la kuwasaidia wazazi ni muhimu hatujakataa ila sio kihivyo kama alicheza faulo ujana wake imekula kwake, analalamikana nn
 
umeongea logic mkuu, sijui watu wanalalamika kitu gani, suala la kuwasaidia wazazi ni muhimu hatujakataa ila sio kihivyo kama alicheza faulo ujana wake imekula kwake, analalamikana nn
Mimi ndo huwa nasema wazazi ni lazima wawasaidie watoto wao,na tunawasaidia watoto wetu ni kwa ajili yao na familia zao.Sisi wazazi tunatakiwa kuandaa uzee wetu,inshort msaidie mtoto kwa ajili yake mwenyewe,kumsaidia mwanao ni lazima maana hatulazimishwi kuzaa.Mtoto nae ipo siku atakuwa baba nae atawajibika hivyo hivyo,huyu mzee anaelalamika namshangaa sana.
 
Huyu jamaa kakanyaga mavi...

Nilijua tu hii ishu ita-backfire..alitoa kashfa kwa watu wengi sana sasa asubiri tu kuanikwa na huu nahisi ni mwanzo tu...!
 
Wazazi wengine hawana shukrani labda anataka kuishi maisha ya kifahari wkt ustaadhi nae ana majukumu yake.naona kuna wabaya wake ustaadhi wanataka kumdhalilisha

Duuh...! Mkuu hivi aitwa Ustaadhi au OSTAZ?

Kama yaezekana mkaribishe au ni PM nambaake nimcheck...!

Kazi ipo na itaendelea..!
 
kweli magazeti ya udaku hakuna siku yataishiwa kuandika stori
 
Back
Top Bottom