Ostaz Juma: Wasanii na Watangazaji wa Redio Njaa sana, Mtakufa

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398


Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha jana. Na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa wakimsujudia..2Hiki ndicho alichokiandika kwenye Facebook:Naona watu mmeguswa sana mimi kuanika Picha za PNC katika mitandao et, tatizo wasanii wa tanzania mnanjaa sana kuanzia watangazaji Radio na wasanii njaa ndio zinazo wasumbua.

Hata mkisema napata pesa kwa utapeli mitandaoni sawa ila ndio pesa zangu na ndio zinawafanya mnitetemekee na kunitaja kwenye vinyimbo vyenu visivyokua na ubora. Sawa mimi tapeli naibia watu hilo sikatai nakubali mimi tapeli ila imekuaje msanii wenu kaja kunipigia magoti?Wasanii wa bongo njaa sana na mtakufa na njaa zenu. Acheni muendelee kunyonywa kwa ujinga wenu shule mmezikimbia tatizo. Mnaniona mimi mbaya kuweka picha Za PNC zimewauma sana eeh. Hahahahahahahahahah pesa inaongea hata mseme nini.Naomba nyie mabloger na watangazaj msio kua na taaluma wekeni na hii.
 
Account yake ya Facebook imekuwa hacked,,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...

Hawakui hack, zile picha aliweka mwenyewe ila baada ya kuiona respond iliyotoka kwa jamii imekuwa mbaya kwa upande wake akawapa watu password yake waichezee hiyo akaunti ili apate pa kuanzia kuuzima moto uliokuwa unawaka!! Jinga sana hili jamaa
 
hii ameipost mwenyewe ili authibitishie umma kwamba acc yake imekuwa hacked
 
Hawakui hack, zile picha aliweka mwenyewe ila baada ya kuiona respond iliyotoka kwa jamii imekuwa mbaya kwa upande wake akawapa watu password yake waichezee hiyo akaunti ili apate pa kuanzia kuuzima moto uliokuwa unawaka!! Jinga sana hili jamaa

Zile picha alipost mwenyewe,sasa baada ya inshu kuwaka moto kuna wahuni wakaingia kwenye account yake wakahack na kumchafua na y3ye kwa mtindo huu..uyu ss ye si mtu wa musoma uko hajui chochote kuhusu mambo ya mjini
 
Sura yake sasa....

yule angekuwa wa mjini wala usingeona ile nyago namna gani,,,tatizo ni tajiri samaki kaja mjini uzeeni alafu akavamia mambo ya wenye mji na vishati vyake kama vya sheta..
 
yule angekuwa wa mjini wala usingeona ile nyago namna gani,,,tatizo ni tajiri samaki kaja mjini uzeeni alafu akavamia mambo ya wenye mji na vishati vyake kama vya sheta..

hhahah sheta huyu msanii ninaemjua mimi au sheta mwingine??
 
Ngoja niwakumbushe kitu kwenye interview yake ya jana kabla ya kumhukumu.

Kwanza Ostadh Juma alisema zile picha hakuzipost yeye kwenye account yake alaf ana uhakika kuwa kuna mtu ka hack account yake na anajaribu kumgombanisha na watanzania.

Ni na uhakika kabisa hayo maneno si ya Ustadh juma kabisa kwa aliye angalia hile interview ya jana ata ungana nami kuwa hayo si maneno yake kabisa.

Ni wazi kuna watu wameingilia account yake ya facebook na wana mgombanisha na watu.

Hakika naamini hawezi kuandika vile vitu na aliomba msamaha na alisema hatoongea tena na hatofanya interview.

Kuna watu wanataka kutumia hili jambo kumgombanisha na watu.

Ni vyema tukawa makini sana na haya maneno kutoka facebook yanayo dhaniwa kuwa ni ya Ostadh juma.

Mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni.
 
Mmh akwendreeee ana pesa uchafu alivyokuja Obama waliitwa wafanyabiashara wenye pesa mbona hakuwemo,!!!?awaache kina Rostam hata hawasemagi kama wana pesaa sembuse huyu vipesa vya msimu
 

Huyo jamaa mpuuzi PIA anakuwa muongo huku akiwa msahaurifu. Baada Tu ya tukio alihojiwa na Clouds na akakubali Leo hii mnakuja kumkingia kifua baada ya kuona wadau wamemjia juu...yeye PIA ana elimu gani?? Hadi awaambie wajinga wenzie hawana elimuu...pathetic.....
 
Sasa hii picha aliipiga ya nini? Hapa hamna haja ya kumtete, atakuwa ni yeye mwenyewe ndiye aliyeteka.
 
Zile picha alipost mwenyewe,sasa baada ya inshu kuwaka moto kuna wahuni wakaingia kwenye account yake wakahack na kumchafua na y3ye kwa mtindo huu..uyu ss ye si mtu wa musoma uko hajui chochote kuhusu mambo ya mjini

Ww humjui huyo njoo mt wa Arusha Msikitini hapo kwenye maduka utapata habari zake. Huyu sio mtu wa Musuma
 
Kama anapuliza moto [colormbaya kama alizaliwa kupitia nyumaa!!!!!
Dinazarde umekosa hekima na utu ka bisa.
Hata kama mtu amekosa na umemchukia kupitiliza lazima haya uliyo yaandika haya stahili kabisa.
Bila hakuna binadamu aliye umbwa amekamilika.

Umekosa hekima kabisa hata chemne ni bora kukosoa makosa yake lakini si hivi ulivyo fanya.

Huu si utu kabisa ni vyema ubadilike.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sijamkingia kifua nimejaribu kuunganisha mistari hapo na hata yeye alikubali amekosa lakini najri u kuonesha pengine haya ya sasa haya toki kwakwe
 
Mimi sijamkingia kifua nimejaribu kuunganisha mistari hapo na hata yeye alikubali amekosa lakini najri u kuonesha pengine haya ya sasa haya toki kwakwe

Ndo nakuambia huyo Juma Ni msanii tu kama ungesikia maneno aliyokiwa akisema basi utaamini Ni yeye ndo kaweka hayo yoye
 

Yeye utu aliouonyesha uko wapi???kumdhalilisha P umeona hajafanya kosaa,nakuambia huyu sio binadamu vihela vya kubadilisha nguo na kuweka heshima bar ndio amtishe P nilichosema ni sahihi endelea kumtetea pungaa huyo sura kama kalambishwa ndimu,mbaya na roho yake mbaya anamzidi shetani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…