Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
watu mna maneno makali kama mna uwezo wa kuumba vile
Ee mbaya kweli hata akikuchumbia huyu baba yako na mama yako watakulaan aisee weka mbaliiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu mna maneno makali kama mna uwezo wa kuumba vile
Naona roho yake na sura vimefanana....
Ee mbaya kweli hata akikuchumbia huyu baba yako na mama yako watakulaan aisee weka mbaliiiii
Kama anapuliza moto mbaya kama alizaliwa kupitia nyumaa!!!!!
Sura yake sasa....
Huyo kwenye picha ni B12?au![]()
Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha jana. Na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa wakimsujudia..2Hiki ndicho alichokiandika kwenye Facebook:Naona watu mmeguswa sana mimi kuanika Picha za PNC katika mitandao et, tatizo wasanii wa tanzania mnanjaa sana kuanzia watangazaji Radio na wasanii njaa ndio zinazo wasumbua.
Hata mkisema napata pesa kwa utapeli mitandaoni sawa ila ndio pesa zangu na ndio zinawafanya mnitetemekee na kunitaja kwenye vinyimbo vyenu visivyokua na ubora. Sawa mimi tapeli naibia watu hilo sikatai nakubali mimi tapeli ila imekuaje msanii wenu kaja kunipigia magoti?Wasanii wa bongo njaa sana na mtakufa na njaa zenu. Acheni muendelee kunyonywa kwa ujinga wenu shule mmezikimbia tatizo. Mnaniona mimi mbaya kuweka picha Za PNC zimewauma sana eeh. Hahahahahahahahahah pesa inaongea hata mseme nini.Naomba nyie mabloger na watangazaj msio kua na taaluma wekeni na hii.
Ngoja niwakumbushe kitu kwenye interview yake ya jana kabla ya kumhukumu.
Kwanza Ostadh Juma alisema zile picha hakuzipost yeye kwenye account yake alaf ana uhakika kuwa kuna mtu ka hack account yake na anajaribu kumgombanisha na watanzania.
Ni na uhakika kabisa hayo maneno si ya Ustadh juma kabisa kwa aliye angalia hile interview ya jana ata ungana nami kuwa hayo si maneno yake kabisa.
Ni wazi kuna watu wameingilia account yake ya facebook na wana mgombanisha na watu.
Hakika naamini hawezi kuandika vile vitu na aliomba msamaha na alisema hatoongea tena na hatofanya interview.
Kuna watu wanataka kutumia hili jambo kumgombanisha na watu.
Ni vyema tukawa makini sana na haya maneno kutoka facebook yanayo dhaniwa kuwa ni ya Ostadh juma.
Mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni.
ngumu eh..!
Ha ha ha ngumu kichizi
Kuhusu mimi au ostaz juma???!!!
Tanzania hii mwanao akisema anataka kuwa msanii lazima udate....mana wanadhalilika na kujidhalilisha sana
you....... nataka niku - PNC!
Teh unataka ufanye kazi chini ya Lebo yangu eeeh?
poa na uje unipigie magoti pia kuonesha mi ndo boss...enheee!! sasa mama... ngoja niandike verse nitupie kwa pieeem!!
poa na uje unipigie magoti pia kuonesha mi ndo boss...