Ostaz Juma: Wasanii na Watangazaji wa Redio Njaa sana, Mtakufa

Ostaz Juma: Wasanii na Watangazaji wa Redio Njaa sana, Mtakufa

naona kapata umaarufu. hata tuliokuwa hatumjui tumemjua sasa!!
hii ndio bongo bwana kila kitu ni FURSA
 
21.jpg


Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha jana. Na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa wakimsujudia..2Hiki ndicho alichokiandika kwenye Facebook:Naona watu mmeguswa sana mimi kuanika Picha za PNC katika mitandao et, tatizo wasanii wa tanzania mnanjaa sana kuanzia watangazaji Radio na wasanii njaa ndio zinazo wasumbua.

Hata mkisema napata pesa kwa utapeli mitandaoni sawa ila ndio pesa zangu na ndio zinawafanya mnitetemekee na kunitaja kwenye vinyimbo vyenu visivyokua na ubora. Sawa mimi tapeli naibia watu hilo sikatai nakubali mimi tapeli ila imekuaje msanii wenu kaja kunipigia magoti?Wasanii wa bongo njaa sana na mtakufa na njaa zenu. Acheni muendelee kunyonywa kwa ujinga wenu shule mmezikimbia tatizo. Mnaniona mimi mbaya kuweka picha Za PNC zimewauma sana eeh. Hahahahahahahahahah pesa inaongea hata mseme nini.Naomba nyie mabloger na watangazaj msio kua na taaluma wekeni na hii.
Huyo kwenye picha ni B12?au
Hyhh
 
Ngoja niwakumbushe kitu kwenye interview yake ya jana kabla ya kumhukumu.

Kwanza Ostadh Juma alisema zile picha hakuzipost yeye kwenye account yake alaf ana uhakika kuwa kuna mtu ka hack account yake na anajaribu kumgombanisha na watanzania.

Ni na uhakika kabisa hayo maneno si ya Ustadh juma kabisa kwa aliye angalia hile interview ya jana ata ungana nami kuwa hayo si maneno yake kabisa.

Ni wazi kuna watu wameingilia account yake ya facebook na wana mgombanisha na watu.

Hakika naamini hawezi kuandika vile vitu na aliomba msamaha na alisema hatoongea tena na hatofanya interview.

Kuna watu wanataka kutumia hili jambo kumgombanisha na watu.

Ni vyema tukawa makini sana na haya maneno kutoka facebook yanayo dhaniwa kuwa ni ya Ostadh juma.

Mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni.

Ana nini au ye ni nani mpaka watu wa hack acc yake. Mxiuuuu embu atutolee pumba zake
 
Tanzania hii mwanao akisema anataka kuwa msanii lazima udate....mana wanadhalilika na kujidhalilisha sana
 
Back
Top Bottom