Ostaz Juma: Wasanii na Watangazaji wa Redio Njaa sana, Mtakufa

hvi pesa zake hupata kwa njia ya uganga nasikia mganga.ila kipind fulan alimsodoma rafki yangu wa hapa kona jamaa mbaya kala ndugu wa familia moja kuanzia dada mtu, kaka mtu na mdogo mtu daaaaah
 
hvi pesa zake hupata kwa njia ya uganga nasikia mganga.ila kipind fulan alimsodoma rafki yangu wa hapa kona jamaa mbaya kala ndugu wa familia moja kuanzia dada mtu, kaka mtu na mdogo mtu daaaaah

aiseee! weka mbali na watoto
 
aiseee! weka mbali na watoto

jamaa hafai dili zake nyingi ni za kiganga kuwatapel watu namjua toka kipnd hicho ana ki rava 4 misele mitaa ya kona kimara kawafanya vbaya sana washkaji pale we kamuulizie pale watakwambia story zake alichowafanya ndugu watatu wa damu dada, kaka na mdogo mtu.huyu kaka kwa sasa yuko bandari sijui bado anapumuliwa kichogon
 
Kona kwa mzee gani pale? Ujue ndo mitaa
 
huyu jamaa ana undugu na idd amin, si bure!

he is too much roho mbaya aisee!
 
Hata wewe unaweza ukaja kuwa mbaya kuliko huyo ustadh amini ninachoongea hujafa hujaumbika.

Kwan uliambiwa kapata ajalii!!!!!!kazaliwa hivyo na roho yake inafanana na sura yake
 
Ukiifuatilia hii thread bila shaka utagunduwa kuna vidume humu vinapakatwa na huyo Ostadh feki au ndio watu wakumbomu mizinga ndio maana wanaleta vijambio vyao hapa kutetea ujinga.
 
Zile picha alipost mwenyewe,sasa baada ya inshu kuwaka moto kuna wahuni wakaingia kwenye account yake wakahack na kumchafua na y3ye kwa mtindo huu..uyu ss ye si mtu wa musoma uko hajui chochote kuhusu mambo ya mjini
Hivi wewe umepewa nini? hivihivi utashangaa unafirika kwa ukuwadi, eti mtu wa Musoma hajuikitu! na hao anaowatapeli ni wa wapi? siyo wamjini?
 

Mmh lkn kweli maneno yamezid ukali asee
 
Last edited by a moderator:
Na shombo yote aliyoitoa bado wataendelea kumsujudia......bora nife njaa kuliko......
 
Kwa maneno haya maana yake ndio ameamua kwamba yeye na "music industry" ndio basi au vipi?!
 
Shangaa utafikiri kafanya vizuri mno!!!

we mbonA unaongeA...... saNaaa isije kuwa ww ni tukunyemA..... siku zote wakina dada wanaovutia hawa talk mucH.... so watch out your mouth bi mdada
 
we mbonA unaongeA...... saNaaa isije kuwa ww ni tukunyemA..... siku zote wakina dada wanaovutia hawa talk mucH.... so watch out your mouth bi mdada

Nikivutia nisipovutia we itakusaidia ninii,naongea sana kwa sababu silipii kuongea we mwenyewe muongeaji mpaka ukaandika so watch your ton.... aunt Zedudu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…