Hivi mnaposema waliwasumbua wazungu ni serious kweli? hilo tu kutaka kungonoka na maadui ni udhaifu kwenye harakati.
C.C Elli
hahahhaha Mpwa wangu kila mtu ana udhaifu na uzuri wake, hawajamaaa ni kweli waliwapa hard times wazunguHivi mnaposema waliwasumbua wazungu ni serious kweli? hilo tu kutaka kungonoka na maadui ni udhaifu kwenye harakati.
C.C Elli
Heshima mbele waikuu hapa JF. Tangu nikiwa mdogo na mpaka sasa nimemaliza miaka 3 sasa nasikia baadhi ya watu wakisimulia habari kuhusu mtu mmoja aitwaye Otango Osale, tafadhali wakuu mwenye historia yake atupie hapa tupate kumfahamu vizuri.
Nawasilisha
John Tongo,
Jina ni Osale Otango.
Alikuwa na mwenzake anaitwa Paul Hamisi.
Osale Otango alikuwa Mjaluo na Paul Hamisi Msambaa.
Hawa waliwapa shida sana Wazungu kwa vitendo vyao.
Mengi yameandikwa kuhusu watu hawa ambao wakijificha katika mapango
ya Amboni.
Binafsi nimesoma hayo hayo ya katika magazeti miaka mingi nikiwa mtoto.
Bado sijaona kazi ya kisomi juu ya watu hawa.
Kuna baadhi wanawaita hawa wapigania haki ya Muafrika na kuna wengine
wanawaona walikuwa majambazi wa kawaida.
Nami ningependa kupata habari kamili za watu hawa.
mpaka mwisho, sijaelewa vema
Bibi nyau,gamboshi,Bermuda triangleOsale Otango
Juma njemba
Bibi fisi
Mzee kiyegeu
Nknk
Mkuu OSALE OTANGO alikuwa ni mpiganaji wa KIKENYA,,aliyekuja kujificha kwenye MAPANGO YA AMBONI TANGA,,,inasemekana alikuwa mmoja wa wapiganaji wa VITA VYA MAUMAU nchini KENYA....kwa majibu wa hadithi za wazee..john tongo, OSALE OTANGO alikuwa mpigania uhuru (freedom fighter) kutoka mkoani Tanga kwenye miaka ya 1950. Baadaye alihama kutoka maeneo ya LUSHOTO akahamia Amboni TANGA na kwenye yale mapango ndipo walipokuwa wanajificha. ENDELEA KUTAFITI MKUU.