Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo PM nikupe namba utume hiyo hiyo uliyonayo kwanza ili nikupe u PLATINUM MEMBERMimi maana bado 20 tu itimie kilo 2 niwatupie kina invisible
duuu kwa hiyo ni 200k asee..Mimi maana bado 20 tu itimie kilo 2 niwatupie kina invisible
Uzi huu ni wa kubashiri ni nani atakae fuatia kupewa cheo cha plutnum member ,yaani mtag unaemuhisi au yule unaevutiwa na mada zake au ushauri wake binafsi namuhisi Sky Eclat.
Karibuni .
Hahaha swali lako zuri sana, ngoja wahusika waje wenyewe watuambie.Hivi huwa ina faida gani...
Au unaingia jf free bila kuwasha data