Otea nini kilitokea

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ilikuwa Jumamosi asubuhi, kazee kamjini kakaingia
na bonge ya mdada kwenye yard ya magari mapya.

KAZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kabinti
kakazunguka na kwa msaada wa mwenye wa
mwenye yard kakapata Noah nyeupe nzuri sana.

MDADA: Mi naitaka hii
KAZEE: Hakuna tatizo kabisaaa. Kwani shilingi ngapi
hii? Kakatoa kitabu cha cheki na kuandika cheki
palepale na kumpa mwenye yard

MUUZAJI: Sasa mzee kwa kuwa umetoa cheki, gari
utakuja chukua Jumatatu nikihakikisha kuwa una
pesa benki. Nipe namba yako ya simu Mzee
KAZEE: Hilo nilijua. Haya twende zetu sweety Jumatatu
ntakuja kukuchukulia gari lako..................Siku ya
Jumatatu mwenye yard kampigia simu Mzee.

MUUZAJI: We mzee kavu sana, akaunti yako ilikuwa
haina hata senti tano.

KAZEE: Hilo nilijua, lakini wiki endi yangu ilikuwa tamu sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ha ha ha ha ha ha.................................................................mchan umekuwa mzuri sana kwangu leo
 
Hi lazma nikaijaribu kwa ladies wa bongo movies na video queen kadhaa, kwa mara ya kwanza nimeiona fursa.
 
Reactions: wax
Hii nzuri unaongea na mwenye yard ili aseme au akupe wiki nzima ya kwenda kucheki account mbele ya demu.
 
Technology ya kileo bila sound kuna wajanja hawakamatiki
 
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo mdada lazima ataanza kudate wanafunzi maana kukatana na Kazee Ka Mjini
 
Hii hiiii hiiiiiiii!!!! ngoja nicheke kikwetu maana siku nyingi mpaka nimepamisi, bonge la aidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…