Otea nini kilitokea

Otea nini kilitokea

Ilikuwa Jumamosi asubuhi, kazee kamjini kakaingia
na bonge ya mdada kwenye yard ya magari mapya.

KAZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kabinti
kakazunguka na kwa msaada wa mwenye wa
mwenye yard kakapata Noah nyeupe nzuri sana.

MDADA: Mi naitaka hii
KAZEE: Hakuna tatizo kabisaaa. Kwani shilingi ngapi
hii? Kakatoa kitabu cha cheki na kuandika cheki
palepale na kumpa mwenye yard

MUUZAJI: Sasa mzee kwa kuwa umetoa cheki, gari
utakuja chukua Jumatatu nikihakikisha kuwa una
pesa benki. Nipe namba yako ya simu Mzee
KAZEE: Hilo nilijua. Haya twende zetu sweety Jumatatu
ntakuja kukuchukulia gari lako..................Siku ya
Jumatatu mwenye yard kampigia simu Mzee.

MUUZAJI: We mzee kavu sana, akaunti yako ilikuwa
haina hata senti tano.

KAZEE: Hilo nilijua, lakini wiki endi yangu ilikuwa tamu sana.
[emoji2] [emoji38] [emoji2] [emoji38]
 
ha ha ha ha ha ha.................................................................mchan umekuwa mzuri sana kwangu leo
Stunter huna mpinzani kwenye thread kama hizo mana ni noma ngoja nidurufu nikabandike somewhre
 
kama huamini basi
Sio kila mtelemko ni mbaya, so usiseme haupendi mtelemko,
zipo nyakati zikifika Mtelemko ndio inakuwa njia sahihi ya kukusave
 
Sio kila mtelemko ni mbaya, so usiseme haupendi mtelemko,
zipo nyakati zikifika Mtelemko ndio inakuwa njia sahihi ya kukusave
nilimaanisha mitelemko kama hiyo ulopost
 
Back
Top Bottom