Necta particulars doesn't match na solve vipi mkuu?Ni automatic hiyo
Kuna uwezekano taarifa hazilandani hivyo kama unaweza usiziunganishe taarifa maana kikubwa profile isome 100%Necta particulars doesn't match na solve vipi mkuu?
Ni mwanzo kabisa nafungua account.Kuna uwezekano taarifa hazilandani hivyo kama unaweza usiziunganishe taarifa maana kikubwa profile isome 100%
Kama unafungua account ingiza taarifa zako sahihi na utumie format sahihi Mfano S2222-0001/2010Ni mwanzo kabisa nafungua account.
Hapo mfumo ndipo ulipo fail yaani unakuta mwaka jana uliomba sec kwa masomo ya arts ila saivi mfumo bado una retrieve taarifa za secondary na huwezi badilisha chochote ila kwa wanao jisajili kwa mara ya kwanza mfumo unahitaji kuchagua primary na huenda shule zinakuja za msingi kabisaWadau alafu ukiwa unaomba shule mbona haiandiki hii Primary hii Secondary inaandika tu
MFANO
1) Kilaka School 1 position History
2) Kinje School 1 Position Geography
Hii inakuwaje maana wa Arts tunahitaji kuomba Msingi au mfumo unaweka Automati Shule Msingi kwa arts.
Aisee Serious maana kwa hoja hii sawa na kusema 99% ya walimu wa Arts ambao wanahitajika kuomba Primary wameomba Sec kwalugha nyengine Arts wote watakosa ajira...Coz wanajisajiri upya wachacheHapo mfumo ndipo ulipo fail yaani unakuta mwaka jana uliomba sec kwa masomo ya arts ila saivi mfumo bado una retrieve taarifa za secondary na huwezi badilisha chochote ila kwa wanao jisajili kwa mara ya kwanza mfumo unahitaji kuchagua primary na ahuenda shule zinakuja za msingi kabisa
Wewe huhusiki jomba. Mwisho ,2019Kwa walio maliza 2020 inakuwaje kwenye ku apply wakuu,tupeane muongozo.
sio mm boss ,mm sio mwalimu nauliza on behalf ya mwanangu kamaliza 2020 nimesoma tangazo kwamba 2020 hawahusiki lakini last time watu wali apply pasipo kuangalia vigezo vya mwaka na wakawa selected nawaza jinsi ya ku trick system na ili system hi accept application .Wewe huhusiki jomba. Mwisho ,2019
wewe unaeangaika kutafuta ajira....ndio utakazwa maana...amini nakwambia hiyo nafasi utaikosaKakazwe mbele huko
Mwaka jana wa arts pia walitakiwa kuomba primaryHapo mfumo ndipo ulipo fail yaani unakuta mwaka jana uliomba sec kwa masomo ya arts ila saivi mfumo bado una retrieve taarifa za secondary na huwezi badilisha chochote ila kwa wanao jisajili kwa mara ya kwanza mfumo unahitaji kuchagua primary na huenda shule zinakuja za msingi kabisa
Jaribu kuitrick bassio mm boss ,mm sio mwalimu nauliza on behalf ya mwanangu kamaliza 2020 nimesoma tangazo kwamba 2020 hawahusiki lakini last time watu wali apply pasipo kuangalia vigezo vya mwaka na wakawa selected nawaza jinsi ya ku trick system na ili system hi accept application .
It doesn't matter who you are but whom you knowsio mm boss ,mm sio mwalimu nauliza on behalf ya mwanangu kamaliza 2020 nimesoma tangazo kwamba 2020 hawahusiki lakini last time watu wali apply pasipo kuangalia vigezo vya mwaka na wakawa selected nawaza jinsi ya ku trick system na ili system hi accept application .
Sasa unanambia hivyo mm na ualimu wapi na wapi mbona kama unaweka kijicho,mm mhandisi by professional boss kwa hiyo usiwaze ukajua nitawawekea jam kwenye hivyo vinafasi buku.It doesn't matter who you are but whom you know
Alokwambia mi naaply nani?au unajua mi nimemaliza shule juzi hapo nimejibu swali maana umedai mwaka jana hata wa 2019 waliajiriwa ikiwa hawakuruhusiwa hata kuomba?inamaana hata simple englishi hujui? alafu wewe huwezi kuwa mhandisiSasa unanambia hivyo mm na ualimu wapi na wapi mbona kama unaweka kijicho,mm mhandisi by professional boss kwa hiyo usiwaze ukajua nitawawekea jam kwenye hivyo vinafasi buku.
Una akili za kichawi wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ni atakua ni "mwandisi"Alokwambia mi naaply nani?au unajua mi nimemaliza shule juzi hapo nimejibu swali maana umedai mwaka jana hata wa 2019 waliajiriwa ikiwa hawakuruhusiwa hata kuomba?inamaana hata simple englishi hujui? alafu wewe huwezi kuwa mhandisi