OTES: Shule kutoandikwa ya Msingi au ya Sekondari, unazijuaje?

Alokwambia mi naaply nani?au unajua mi nimemaliza shule juzi hapo nimejibu swali maana umedai mwaka jana hata wa 2019 waliajiriwa ikiwa hawakuruhusiwa hata kuomba?inamaana hata simple englishi hujui? alafu wewe huwezi kuwa mhandisi
Simple englishi😂😂😂
 
Ukimaliz kujaza, ingia kweny machaguo ya muombaj utaona wameandk jina la shule na neno EM... inayomaanish Elim msingi kwhyo art n automatically primary hata ukigoogle majina ya hizo shule zinazotokea kwa watu wa arts zote n msing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…